TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
kupitia vipindi vya shule ya uongozi vinavyoandaliwa na Polepole pia na leo Ndugu Polepole ameeleza namna ya wananchi wanavyopaswa kuhoji mambo yanayowahusu kwa mamlaka husika.Ok kwa hiyo akina makonda mtoto mpendwa wa Mwendakuzimu walipoingiza samani walilipakodi
Sawa.Hiyo hatari ilo wapi. Hebu iabainishe hapa.
Wote walihudumu nafasi sawa. Tofauti ni nyakati tu. Waache waparuane.Kumbe nayeye alikua makini akisubiri press ya Polepole...[emoji56]
Hii inaonyesha ni kiasigani wana CCM walikua wakisuburi kwa ham kusikia Polepole akitangaza kung'atuka ehhhh...[emoji12]
Ebu nitoshe kumkumbusha Nape atunze akiba ya maneno, asije akaponzwa masikio kuzidi kichwa..
Sikuelewi Mkuu.Kiroboto si yule mnafiki aliyetetea katiba mpya, alipopewa cheo akawanunua wapinzani KWA hela za walipakodi Ili Waunge mkono juhudi hewa na ulaghai!;
Ni fedha kiasi gani zilipotea kwenye chaguzi feki ukilinganisha na TRA bills za kodi za hao wahuni??
Nape ana bifu na Mh. Polepole kwa sababu waliwanyang'anya mali za CCM walizokuwa wamejimirikisha kinyume na utaratibu wa chama. Alinyang'anywa V8 pia TV ya Channel 10 ambayo walikuwa wamewapa wahindi halafu wao wanakuwa wanapata share kila baada ya muda fulani lakini hata afanyeje hawezi kurudishiwa tena hata kama atatoa mapovu ya kujaa debe!!Sitaki maneno mengi, Nakuletea Screenshoot ya Tweet ya Mh. Nape. Sijaielewa kabisa hebu mwenyw ufahamu anisaidieView attachment 2040808
Nisadieni kumjua
Godfather
Kiroboto
Kinawenyewe ? Nini hicho !? Kitanda au kisiwa au Kijiji.
Ndo ukweli huo.chama ni CCm na ndicho chenye serikali, kwa lugha nyepesi inchi ina wenyewe. Ina maana wewe na mimi hatuna chetu, ikiwa ni pamoja na huduma za jamii. Hivyo kauli kama hizo ni za hovyo sana kwa raia wema kama sisi. Sina interest na chama chochote lakini kauli kama hizo ni matusi kwa raia.
Na wewe chawa wa mwendazake ndio genious wetu hapa JFNape hapo ubongo wake umevuka 99.9% ya utendaji wake.....hata kwenye siasa aliingia kwa kutumika kumpaka maptope Lowassa!
Tuache utani 97% ya wana jf akili zetu za kuchanganua mambo tupo kundi moja na Nape na chini kidooogo! Hahaah!
Utaanzaje kuwaondoa wakati mwendazake alishapiga marufuku Serikali kupingwa na yoyote yule...ama kifo au kifungo kitakuhusuIts high time to get these clowns off the game!
Katiba tu ibadilishe utopolo wote huoUtaanzaje kuwaondoa wakati mwendazake alishapiga marufuku Serikali kupingwa na yoyote yule...ama kifo au kifungo kitakuhusu
Katiba hata nzuri kiasi gani bila wananchi wenyewe kuamka ni bureKatiba tu ibadilishe utopolo wote huo
Akili ndogo huwezi kunielewaSikuelewi Mkuu.
Siyo kauli ya kuchekea hii! Ni hatari kwa usalama wa chama na Taifa!
Mama Yenu Chama kinamfia mikononi , Tupo pamoja na tuendelee kunyoa na kusuka ila jibu mud Si muda litapatikanaSitaki maneno mengi, Nakuletea Screenshoot ya Tweet ya Mh. Nape. Sijaielewa kabisa hebu mwenyw ufahamu anisaidieView attachment 2040808
Nisadieni kumjua
Godfather
Kiroboto
Kinawenyewe ? Nini hicho !? Kitanda au kisiwa au Kijiji.
Asante akili kubwa, nakutakia usiku mwema.Akili ndogo huwezi kunielewa
Hilo sio jiwe, huo ni msuto wa style ya kigodoro