Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Nape kafanya blunder wala siyo error ! Ajirudi, sisi tuna Tanzania moja hatuna nchi nyingine, yeye kama ana uraia wa nchi zaidi ya moja aende huko kwingine atuachie TANZANIA yetu!

Your right, on point. Nafikiri kwenye ile hafla ya kumuenzi baba yake, alihakikishiwa hii nchi ni yao, imerudi kwao.

Watafanya watakavyo.
 
Acha uongo una ushahidi unayoyasema? Vipi umeshahama Chagadema au? CCM itatawala mpaka mwisho wa kiama kwa akili hizi za upinzani
Kwahiy akina ben, mawazo, azory walijiua ama?? Acha upopoma!! Kwamba hao wanaotawala wanaakil sana? Issue ya kutawala haiangalii uwe na akili. Refer maneno ya diallo ✔️
 
Nijuavyo mimi ni kwamba, Nape kichwani hamna kitu. Hawezi kushindana na Polepole hata kidogo.
Kumbukeni kuwa, Nape ndo yule yule aliyekuwa akiongoza GENGE la kumtukana JPM wakati ule.
Kila mtu ni shahidi kwani alipoona issue imebuma alikwenda kupiga magoti mbele ya JPM akiomba radhi kwa ujinga aliokuwa ameufanya.
Kwa hiyo, huyu hana lolote jipya zaidi ya kujisogeza kwa mama ili angalau aweze kupewa uteuzi.
 
Kundi hilo lilifanya vizuri sana, Umeme,maji wa kuaminika gani?Mfumuko wa bei kuthibitiwa.

Watu wa kipato chini kupata ridhiki.
Barabara, elimu bure, Afya kupunguza kodi, za umeme kwa muda wote uliziona.

35% wakitalawa nchi yao ndio Nongwa.

Kwenye kundi la wahuni unaona ni sawa wafanye ujinga wowote. Tuwaangalie tu kama sisi wote ni wapumbavu . Tatizo ni ukabila unakusumbua.
Watu kupigwa marisasi na kufanywa vilema bila kisa, wasiojulikana kutamalaki tena kwabkidi zetu wenyewe, ben saanane, Azory, watu kutekwa, maiti kuokotwa ufukwen, watu kunyanganywa fedha zao kibabe, watumishi wa umma na wanasiasa kufukuzwa kibabe, ukabila nk nk
 
Mateso kuliko yale ya.. kamata, teka, tesa ua, funga kweny kiroba tupa coco beotch!, Weka ndan, mpe kesi uhujum uchumi, funga acc zao na komba jax lote!!
Nape na wenzake walitutesa Sana,tulitembea tukificha jezi zetu.
 
Ogopa sana ukisikia wenyewe au mwenyewe.

Kama ni mwanamke ukisikia ana mwenyewe kaa mbali.

Kama ni kazi ukisikia ina wenyewe kaa mbali.

Kama ni utawala wa kifalme ukisikia una wenyewe kuwa makini,uta ishia kutawala hawamu moja tu. Alafu wana kunanii.
 
Back
Top Bottom