Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Ok kwa hiyo akina makonda mtoto mpendwa wa Mwendakuzimu walipoingiza samani walilipakodi
kupitia vipindi vya shule ya uongozi vinavyoandaliwa na Polepole pia na leo Ndugu Polepole ameeleza namna ya wananchi wanavyopaswa kuhoji mambo yanayowahusu kwa mamlaka husika.

Suala la Makonda, kuna uwezekano linakuhusu. Kwa hiyo nakushauri ukaulize mamlaka husika zikupe majibu ama pia waweza kumtafuta Makonda akupe majibu sahihi.
 
Nape anamuona Polepole mtoto mgeni aliyekaribishwa nyumbani akapewa mamlaka,akaanza kuwadhibiti watoto wa mwenye nyumba huku Polepole akimuona Nape mtoto mhuni alipokuwa anaongoza watoto wenzake alitumia madaraka yake vibaya,kupora mali za familia,alipodhibitiwa akaweka kinyongo https://t.co/NPBJYXQ1R9
IMG_20211211_181211.jpg
IMG_20211211_181206.jpg
 
Kumbe nayeye alikua makini akisubiri press ya Polepole...[emoji56]
Hii inaonyesha ni kiasigani wana CCM walikua wakisuburi kwa ham kusikia Polepole akitangaza kung'atuka ehhhh...[emoji12]
Ebu nitoshe kumkumbusha Nape atunze akiba ya maneno, asije akaponzwa masikio kuzidi kichwa..
Wote walihudumu nafasi sawa. Tofauti ni nyakati tu. Waache waparuane.
 
Mm naomba kuuliza, hapa amemfananisha na kiroboto au na Punda? Au yote mawili? Wadau wengi wameshikilia kiroboto pekee...

Kwangu mm Punda linauma zaidi, maana amemfananisha na mnyama asie na akili, anaebeba asichokijua. Kiroboto tabia yake kuu ni u-Parasite, kuishi kwa kutegemea kiumbe mwengine, sifa ambayo kila kiumbe anayo, hakuna anaejitosheleza.

Mbaya zaidi, eti Punda anaetokwa na roho...
 
Sitaki maneno mengi, Nakuletea Screenshoot ya Tweet ya Mh. Nape. Sijaielewa kabisa hebu mwenyw ufahamu anisaidieView attachment 2040808

Nisadieni kumjua
Godfather
Kiroboto
Kinawenyewe ? Nini hicho !? Kitanda au kisiwa au Kijiji.
Nape ana bifu na Mh. Polepole kwa sababu waliwanyang'anya mali za CCM walizokuwa wamejimirikisha kinyume na utaratibu wa chama. Alinyang'anywa V8 pia TV ya Channel 10 ambayo walikuwa wamewapa wahindi halafu wao wanakuwa wanapata share kila baada ya muda fulani lakini hata afanyeje hawezi kurudishiwa tena hata kama atatoa mapovu ya kujaa debe!!
 
chama ni CCm na ndicho chenye serikali, kwa lugha nyepesi inchi ina wenyewe. Ina maana wewe na mimi hatuna chetu, ikiwa ni pamoja na huduma za jamii. Hivyo kauli kama hizo ni za hovyo sana kwa raia wema kama sisi. Sina interest na chama chochote lakini kauli kama hizo ni matusi kwa raia.
Ndo ukweli huo.
pole pole wakati ni katibu wa itikadi na uwenezi wa CCM.
Si alikuwa anatetea wizi kwa kura wa tarehe 28 mwezi wa 10?
Sasa hivi anataka kufukuzwa anapiga kelele .Nani atamuamini?
chama kimerudi kwa wenyewe.
 
Nape hapo ubongo wake umevuka 99.9% ya utendaji wake.....hata kwenye siasa aliingia kwa kutumika kumpaka maptope Lowassa!

Tuache utani 97% ya wana jf akili zetu za kuchanganua mambo tupo kundi moja na Nape na chini kidooogo! Hahaah!
Na wewe chawa wa mwendazake ndio genious wetu hapa JF
 
Sitaki maneno mengi, Nakuletea Screenshoot ya Tweet ya Mh. Nape. Sijaielewa kabisa hebu mwenyw ufahamu anisaidieView attachment 2040808

Nisadieni kumjua
Godfather
Kiroboto
Kinawenyewe ? Nini hicho !? Kitanda au kisiwa au Kijiji.
Mama Yenu Chama kinamfia mikononi , Tupo pamoja na tuendelee kunyoa na kusuka ila jibu mud Si muda litapatikana
 
Back
Top Bottom