sasa Kama ilipoteza kabisa imani kwa watu. Hebu tuambie magufuli aliwezaje kugombea urais 2015 kupitia hiyo Ccm ya kina Nape na akashinda?Ukweli ni kwamba, CCM ya Nape ndo iliyokuwa imechakaa kwa kiwango cha Lami. Wakati ule, mwana CCM kuvaa T-shirt au Kofia ya Chama ilikuwa ni kama kuvuta Bangi mbele ya Polisi...
Ndugu yangu hizi ni fikra zako tu.Nafikiri 'ina wenyewe' ya kina kikwete na mkapa n.k ina maana tofauti na hii 'ina wenyewe' ya huyu nape.
hakuna tamko la kukataza mikutanohalaliya vyama vya siasa ni ukilaza wenu na concrete thinking yenuKwa nguvu ya dola.
Awamu ya nne haikukataza vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara.
godfather wenu si alituacha tuko uchumi wa Kati? Leo unaogopa tozo sukuma gang 😁😁😁😁Wenyewe wanaofukuza machinga ,kupandisha bei ya bidhaa ,mgao wa umeme na maji?
Sasa hauoni kuwa wanaojiita wenyewe ndiyo washamba
Kwema mkuu
Mataga mtasema yote,Godfather hayupo tena.
Wakati wa kutafuta kura Za kula wanakuwa wamoja Dhidi ya wapinzani haoMa ccm Yanajua kupondana ukigusa mkate wao. Hapo waulize tatizo la vyoo mashuleni na mdarasa mnatatua lini. Watakimbia wote.
watu wengne wamekalia maubishi tu..Ukweli ni kwamba, CCM ya Nape ndo iliyokuwa imechakaa kwa kiwango cha Lami. Wakati ule, mwana CCM kuvaa T-shirt au Kofia ya Chama ilikuwa ni kama kuvuta Bangi mbele ya Polisi...
Imemuajiri nani au ndo nyie watendaji ndio na sifaKama aliyoyasema Nape kwenye twiter yake siyo fake basi Nape yupo kwenye usingizi wa pono...
Kuitwa kijana inategemeana na nafasi ulionayo wakati huo kwenye jamii, biashara, kilimo ama mafanikio/hatua yeyote kwa kusudio mahususi.Mmh kwani ujana unaanzia miaka mingapi mpaka mingapi?
Tatizo huyu bwana hata ajaguswa yeye, lakini kaishaanza kukata kiuno...😂Kwanini lakini Ushimen
Bora bao lamkono kuliko mkono wachuma wa polepole na godfatherNafuu polepole..Nape Ni wa hovyo Sana..Jikumbusheni nape wa bao la mkono..
Kuna mpasukoHuu mtifuano kuna vigogo wazito sana nyuma ya hii move tusubiri muda tu.
Sidhani kama PolePole ana jipyaChama kilekile, ilani ya uchaguzi ileile, watu walewale, shida ni nini?
Polepole yupo sahihi maneno mengine ni kujifariji tu
Hili huenda linaukweli.Nape Kama aliuza chanel ten na Mali nyingi za Chama wakiwa na Kinana wake
kama ni kweli,weka wazi, nnape alinyang'anya mali za nani. polepole ana sera za kijamaa ambazo ni za kizee ndio maana mtoto mdogo anaonekana kazeeka kama over 50 kumbe hata 45 bado.Nape anamuona Polepole mtoto mgeni aliyekaribishwa nyumbani akapewa mamlaka,akaanza kuwadhibiti watoto wa mwenye nyumba huku Polepole akimuona Nape mtoto mhuni alipokuwa anaongoza watoto wenzake alitumia madaraka yake vibaya,kupora mali za familia,alipodhibitiwa akaweka kinyongo https://t.co/NPBJYXQ1R9View attachment 2040848View attachment 2040849
😀Polepole nyota yake inang'aa.
Nape teuzi tu.