Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Ukweli ni kwamba, CCM ya Nape ndo iliyokuwa imechakaa kwa kiwango cha Lami. Wakati ule, mwana CCM kuvaa T-shirt au Kofia ya Chama ilikuwa ni kama kuvuta Bangi mbele ya Polisi...
sasa Kama ilipoteza kabisa imani kwa watu. Hebu tuambie magufuli aliwezaje kugombea urais 2015 kupitia hiyo Ccm ya kina Nape na akashinda?
 
Nafikiri 'ina wenyewe' ya kina kikwete na mkapa n.k ina maana tofauti na hii 'ina wenyewe' ya huyu nape.
Ndugu yangu hizi ni fikra zako tu.

La uhakika ni kwamba "CCM ina wenyewe" ndio kauli hiyohiyo iliyotolewa na BM, JK na Nape
 
Kwa nguvu ya dola.
Awamu ya nne haikukataza vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara.
hakuna tamko la kukataza mikutanohalaliya vyama vya siasa ni ukilaza wenu na concrete thinking yenu
 
Wenyewe wanaofukuza machinga ,kupandisha bei ya bidhaa ,mgao wa umeme na maji?

Sasa hauoni kuwa wanaojiita wenyewe ndiyo washamba
godfather wenu si alituacha tuko uchumi wa Kati? Leo unaogopa tozo sukuma gang 😁😁😁😁
 
Mataga mtasema yote,Godfather hayupo tena.

Mwenye mawazo mgando kama yako ndio atakua anasubiria wengine waseme yote

Wakati huo wengine hao wanasema acha KAZI IENDELEE
 
Hapo kwenye ushindi wa asilimia 84 umeandika upuuzi mtupu..ushindi wizi wa kipuuzi..
 
Ukweli ni kwamba, CCM ya Nape ndo iliyokuwa imechakaa kwa kiwango cha Lami. Wakati ule, mwana CCM kuvaa T-shirt au Kofia ya Chama ilikuwa ni kama kuvuta Bangi mbele ya Polisi...
watu wengne wamekalia maubishi tu..

Ila honestly, ccm under humphrey & bashiru ilikuwa na mvuto zaidi ukilinganisha ccm ya hapo katikati..

Mgombea wa kiti cha uraisi alichangia pamoja na upepo wa kisiasa kiujumla..

Uchaguzi wa kura za maoni majimboni...jimbo kama la ukonga tu..watia ni walikuwa over 60..

Achana na majimbo ya town..Nenda majimbo ya vijijini mikoani huko..hakuna jimbo lililokuwa na watia nia chini ya 50..sidhani,

Hii ni proof pia, kwamba ccm ya polepole ilikuwa na mvuto beyond compare..

Hili la kusema ccm chini ya kina Bashiru Ally ilinunua wapinzani ni madai ya kitoto..

Kwanza unapokiri bayana kwamba ccm ilinunua wapinzani, iwe ni kweli ama sio kweli tayari umeshajidhalilisha..

Tafsr yake ni kuwa kumbe upinzani una bei..coz kwann wanunulike? Tena viongozi waandamizi!

Nani atakiamini tena chama ambacho viongozi wake hununulika?

Ukiwauliza hili, majibu yao ni mepesi kwamba wote unaweza kuwanunua lakini si mbowe, lema au mdee
(kipindi bado halima wanaiva nae)

Vp hao wanaowadi.
 
Mmh kwani ujana unaanzia miaka mingapi mpaka mingapi?
Kuitwa kijana inategemeana na nafasi ulionayo wakati huo kwenye jamii, biashara, kilimo ama mafanikio/hatua yeyote kwa kusudio mahususi.
Yamkini Nape bado anayo safari ndefu kwenye chama na kisiasa ndiosababu nimemuita kijana
 
Chama kilekile, ilani ya uchaguzi ileile, watu walewale, shida ni nini?

Polepole yupo sahihi maneno mengine ni kujifariji tu
Sidhani kama PolePole ana jipya
1.Anazungumziaje kuhusu kesi ya Mboye?
2.Ana maoni gani kuhusu katiba na demokrasia?
 
Kuna mzee mmoja alishawahi kusema kama si mwingine ni mzee Wasira.

Mnakuwa mkekaa sehemu mpo wengi hivi mnapiga story lakini kwenye hilo kundi kuna mtu anatembea na mke wa mtu, Sasa ghafla anakuja mme wa yule mke nae akaa jirani yenu kisha anaaza kunoa panga lake.

Yule mwizi wa mke wa mtu anatoka nduki na kutokomea akidhani yeye mdo analengwa kumbe jamaa nae kajipumzikia tu kupata nyepesi kutoka kijiweni hivyo akaamua kunoa panga lake

Sasa ndugu nape pengine kaguswa na huo uhuni sasa anadhani yeye ndie mlengwa au anatafutwa yeye kumbe ni jambo la jumla, na pengine dhamila inamsuta.

Nadhani kama mtu hana kosa la uhuni hawezi kununa atasikia tu kisha anaenda kuteda kwa haki bila wasiwasi.

Wahuni vumilieni maana mmeyataka wenyewe vinginevyo acheni uhuni.
 
Nape anamuona Polepole mtoto mgeni aliyekaribishwa nyumbani akapewa mamlaka,akaanza kuwadhibiti watoto wa mwenye nyumba huku Polepole akimuona Nape mtoto mhuni alipokuwa anaongoza watoto wenzake alitumia madaraka yake vibaya,kupora mali za familia,alipodhibitiwa akaweka kinyongo https://t.co/NPBJYXQ1R9View attachment 2040848View attachment 2040849
kama ni kweli,weka wazi, nnape alinyang'anya mali za nani. polepole ana sera za kijamaa ambazo ni za kizee ndio maana mtoto mdogo anaonekana kazeeka kama over 50 kumbe hata 45 bado.
 
Back
Top Bottom