Ukweli ni kwamba, CCM ya Nape ndo iliyokuwa imechakaa kwa kiwango cha Lami. Wakati ule, mwana CCM kuvaa T-shirt au Kofia ya Chama ilikuwa ni kama kuvuta Bangi mbele ya Polisi...
watu wengne wamekalia maubishi tu..
Ila honestly, ccm under humphrey & bashiru ilikuwa na mvuto zaidi ukilinganisha ccm ya hapo katikati..
Mgombea wa kiti cha uraisi alichangia pamoja na upepo wa kisiasa kiujumla..
Uchaguzi wa kura za maoni majimboni...jimbo kama la ukonga tu..watia ni walikuwa over 60..
Achana na majimbo ya town..Nenda majimbo ya vijijini mikoani huko..hakuna jimbo lililokuwa na watia nia chini ya 50..sidhani,
Hii ni proof pia, kwamba ccm ya polepole ilikuwa na mvuto beyond compare..
Hili la kusema ccm chini ya kina Bashiru Ally ilinunua wapinzani ni madai ya kitoto..
Kwanza unapokiri bayana kwamba ccm ilinunua wapinzani, iwe ni kweli ama sio kweli tayari umeshajidhalilisha..
Tafsr yake ni kuwa kumbe upinzani una bei..coz kwann wanunulike? Tena viongozi waandamizi!
Nani atakiamini tena chama ambacho viongozi wake hununulika?
Ukiwauliza hili, majibu yao ni mepesi kwamba wote unaweza kuwanunua lakini si mbowe, lema au mdee
(kipindi bado halima wanaiva nae)
Vp hao wanaowadi.