Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
- Thread starter
-
- #381
Kama ule ujumbe wa nenda na mavi yako nyumban 🤣 au nasema uongo ndugu yang!!Siyo lugha za kiungwana Kwa viongozi wetu
Huyu mtu alishawahi kuwa Waziri… kuna namna ya kufikisha ujumbe hiohuo Kwa staha
Ccm rekebisheni hizi
Unafiki ukizidi hapa uende wapi sasa?
Ndio siasa. Waliokuwa wakinyamazishwa walitakiwa kujipambania. Kila mtu ashinde mechi zake.
Eti hayo yatamalizwa na katiba mpya! Yaani nikiwacheki hawa jamaa....najisemea ninyi mnahitaji somo la "Problem analysis", hivyo muanze madarasa ya Shule ya uongozi ya Polepole.,Nanyi CHADEMA acheni uzuzu tumie muda huu Kujiimarisha ,mmelala mno sawa tunajua mnapambana kupata Katiba Mpya lakin jitahidn kuwasemea wananchi mfano machinga mko kimya, tozo mpo kimya, pazeni sauti et watu wa Sayuni
Hivi watekeleza espionage activities za mataifa hasimu wakikamatwa, kwa mujibu wa taratibu, huko Ulaya na US hufanywaje? Swali hili halihusiani na badiko lako hapo juu.Labda kujipamabania kwa kutumia silaha, maana walikuwa wananyamizishwa kwa kutekwa, tena ni kwa uratibu wa vyombo vya dola. Na mambo yote hayo ya kunyamazishana yalikuwa na baraka za Polepole.
Siungi mkono wazo lako.hiki chama bora kife tu hakina faida yeyote
Ukirudi unalala kwa shemeji yako unakula bure huwezi kujuaHakuna lolote mkuu.
Watu tuliopo mtaani sasa hivi kwa amani kabisa Tunaangalia game ya Manchester United vs Norwich city.
Wewe unaongelea mtaa upi??
Walimu wa hypocrisy tunao, tunasubiri shule ianzishwe.
weka sababu. Chama kimeshika dola miaka 60 bado kinahangaikia madawati,maji? halafu viongozi wake ndo kina Nape na Polepole,unafiki mpaka kwenye mifupaSiungi mkono wazo lako.
Mpinzan anayenunualiw ni mjinga kuliko anayemnunua[emoji1][emoji1] Kuipenda?Mnateka,mnaiba maboksi ya kura,mnanunua wapinzani,mnatumia tume na vyombo vyake kushinda kwa kishindo nchi nzima [emoji1][emoji1] na mnasema mnapendwa Hamnaga aibu nyie.
Acha wafu wazikane.Nimesikitika, angenyamaza ingekuwa bora zaidi. Mheshimiwa nape anaonekana ni mtu wa bifu sana asiyependa kunyamaza. Matokeo ya anachokifanya hapa ni kuibuka kwa mivutano zaidi......labda ndicho anachokitaka. Ccm ni ya wote, nani kasema ina wenyewe?!! Disgusting!
Simpendi polepole sababu ni mnafiki namba moja, mdini na mbaguzi wa kikanda aliyefadhaika, aliyeshindwa kabla hajaanza, asiye na haya na aliyerUkwa na akili lakini bado naamini anapaswa kukaliwa kimya na wenye akili hapaswi kujibiwa lolote aachwe tu na ngonjera zake. Kumjibu polepole ni kutumia vibaya akili yako na muda wako.....ni dhaifu mno kwa sasa!!
Naakupa tu fa1ct: CCM ya Nape, wapo wengi waliuwawa, Mawazo wa Geita, waandishi kumwagiwa tindikali na kutobolewa macho, Muulize Kibanda, Mwandishi wa habari kuuwawa Iringa, Dr. Mvungi alilalamika anafuatiliwa baadae kuvamiwa na kukatwa mapanga hatimae kifo. Muulize Dk. Ulimboka kutekwa kung'olewa kucha kisa kudai haki za madakitari. Dr. Silaa na mashumbusi kupigwa kule arusha .How come kwenye hicho kipindi chake ndiyo kumeshamiri vitendo vya watu kutekwa na kupotezwa?
Yani wananchi walizidi kuipenda CCM baada miili kadhaa kuooplewa kwenye viroba baharini,??
Mbona hueleweki, mwanzo ulikuwa ukisema ni sahihi Rais kuahiza wanaompinga wafe ili alete maendeleoHakuna ukweli hapo. Wapinzani pia ndugu zetu, kaka, dada zetu,maslahi ya taifa lazima yaemde mbele.
Yawe kipaumbele kwa taifa lolote.
Mashumbusi wa Dr slaa alipasukiwa kichwa kipindi gani .mwangosi aliuwwa kipindi gani na unajua sababu hasa za vurugu za kule arusha au unajitoa ufaham tuKikwete hakuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, pia hakuzuia vyombo vya habari na wasanii kuimulika serikali yake.
MaCCM yote ni maguruwe full stop.Naakupa tu fa1ct: CCM ya Nape, wapo wengi waliuwawa, Mawazo wa Geita, waandishi kumwagiwa tindikali na kutobolewa macho, Muulize Kibanda, Mwandishi wa habari kuuwawa Iringa, Dr. Mvungi alilalamika anafuatiliwa baadae kuvamiwa na kukatwa mapanga hatimae kifo. Muulize Dk. Ulimboka kutekwa kung'olewa kucha kisa kudai haki za madakitari. Dr. Silaa na mashumbusi kupigwa kule arusha .
Nyani haoni kundule!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena tumkumbushe Nape jinsi alivyotoa mijasho akitembezwe na na njaa zake kwenda kumlamba miguu Godfather was Pole Pole [emoji1787][emoji1787]Kumbe nayeye alikua makini akisubiri press ya Polepole...
[emoji56]
Hii inaonyesha ni kiasigani wana CCM walikua wakisuburi kwa ham kusikia Polepole akitangaza kung'atuka ehhhh...
[emoji12]
Ebu nitoshe kumkumbusha Nape atunze akiba ya maneno, asije akaponzwa masikio kuzidi kichwa..
Mbona alipokuwa kwenye uteule wa Uenezi alipinga rasimu ya warioba [emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ndipo inapoonekana tofauti kati ya Nape na Polepole, wakati Nape anajiweka mbele kila wakati ili akumbukwe kwenye ufalme wa ulaji aliotolewa.
Polepole anasema anachokiamini bila kujali kama anachosema mbele ya safari kitamgharimu nafasi aliyonayo bungeni, kwasasa Nape ndie kiongozi wa kundi la wachumia tumbo wa nchi hii.