Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Siyo lugha za kiungwana Kwa viongozi wetu

Huyu mtu alishawahi kuwa Waziri… kuna namna ya kufikisha ujumbe hiohuo Kwa staha

Ccm rekebisheni hizi
Kama ule ujumbe wa nenda na mavi yako nyumban 🤣 au nasema uongo ndugu yang!!
 
Ndio siasa. Waliokuwa wakinyamazishwa walitakiwa kujipambania. Kila mtu ashinde mechi zake.

Labda kujipamabania kwa kutumia silaha, maana walikuwa wananyamizishwa kwa kutekwa, tena ni kwa uratibu wa vyombo vya dola. Na mambo yote hayo ya kunyamazishana yalikuwa na baraka za Polepole.
 
,Nanyi CHADEMA acheni uzuzu tumie muda huu Kujiimarisha ,mmelala mno sawa tunajua mnapambana kupata Katiba Mpya lakin jitahidn kuwasemea wananchi mfano machinga mko kimya, tozo mpo kimya, pazeni sauti et watu wa Sayuni
Eti hayo yatamalizwa na katiba mpya! Yaani nikiwacheki hawa jamaa....najisemea ninyi mnahitaji somo la "Problem analysis", hivyo muanze madarasa ya Shule ya uongozi ya Polepole.
 
Labda kujipamabania kwa kutumia silaha, maana walikuwa wananyamizishwa kwa kutekwa, tena ni kwa uratibu wa vyombo vya dola. Na mambo yote hayo ya kunyamazishana yalikuwa na baraka za Polepole.
Hivi watekeleza espionage activities za mataifa hasimu wakikamatwa, kwa mujibu wa taratibu, huko Ulaya na US hufanywaje? Swali hili halihusiani na badiko lako hapo juu.
 
Nimesikitika, angenyamaza ingekuwa bora zaidi. Mheshimiwa nape anaonekana ni mtu wa bifu sana asiyependa kunyamaza. Matokeo ya anachokifanya hapa ni kuibuka kwa mivutano zaidi......labda ndicho anachokitaka. Ccm ni ya wote, nani kasema ina wenyewe?!! Disgusting!

Simpendi polepole sababu ni mnafiki namba moja, mdini na mbaguzi wa kikanda aliyefadhaika, aliyeshindwa kabla hajaanza, asiye na haya na aliyerUkwa na akili lakini bado naamini anapaswa kukaliwa kimya na wenye akili hapaswi kujibiwa lolote aachwe tu na ngonjera zake. Kumjibu polepole ni kutumia vibaya akili yako na muda wako.....ni dhaifu mno kwa sasa!!
Acha wafu wazikane.
 
Katiba mpya ndiyo mwarobaini wa huu ujinga.
"Eti kina wenyewe"
 
How come kwenye hicho kipindi chake ndiyo kumeshamiri vitendo vya watu kutekwa na kupotezwa?
Yani wananchi walizidi kuipenda CCM baada miili kadhaa kuooplewa kwenye viroba baharini,??
Naakupa tu fa1ct: CCM ya Nape, wapo wengi waliuwawa, Mawazo wa Geita, waandishi kumwagiwa tindikali na kutobolewa macho, Muulize Kibanda, Mwandishi wa habari kuuwawa Iringa, Dr. Mvungi alilalamika anafuatiliwa baadae kuvamiwa na kukatwa mapanga hatimae kifo. Muulize Dk. Ulimboka kutekwa kung'olewa kucha kisa kudai haki za madakitari. Dr. Silaa na mashumbusi kupigwa kule arusha .
Nyani haoni kundule!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ukweli hapo. Wapinzani pia ndugu zetu, kaka, dada zetu,maslahi ya taifa lazima yaemde mbele.

Yawe kipaumbele kwa taifa lolote.
Mbona hueleweki, mwanzo ulikuwa ukisema ni sahihi Rais kuahiza wanaompinga wafe ili alete maendeleo
 
Kikwete hakuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, pia hakuzuia vyombo vya habari na wasanii kuimulika serikali yake.
Mashumbusi wa Dr slaa alipasukiwa kichwa kipindi gani .mwangosi aliuwwa kipindi gani na unajua sababu hasa za vurugu za kule arusha au unajitoa ufaham tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naakupa tu fa1ct: CCM ya Nape, wapo wengi waliuwawa, Mawazo wa Geita, waandishi kumwagiwa tindikali na kutobolewa macho, Muulize Kibanda, Mwandishi wa habari kuuwawa Iringa, Dr. Mvungi alilalamika anafuatiliwa baadae kuvamiwa na kukatwa mapanga hatimae kifo. Muulize Dk. Ulimboka kutekwa kung'olewa kucha kisa kudai haki za madakitari. Dr. Silaa na mashumbusi kupigwa kule arusha .
Nyani haoni kundule!

Sent using Jamii Forums mobile app
MaCCM yote ni maguruwe full stop.
 
Kumbe nayeye alikua makini akisubiri press ya Polepole...

[emoji56]
Hii inaonyesha ni kiasigani wana CCM walikua wakisuburi kwa ham kusikia Polepole akitangaza kung'atuka ehhhh...


[emoji12]
Ebu nitoshe kumkumbusha Nape atunze akiba ya maneno, asije akaponzwa masikio kuzidi kichwa..
Tena tumkumbushe Nape jinsi alivyotoa mijasho akitembezwe na na njaa zake kwenda kumlamba miguu Godfather was Pole Pole [emoji1787][emoji1787]

Tumwambie ni heri ya Pole Pole kuliko ya jamaa na mitumbo mikubwa unatembezwa na kuhema maeneo ya ikulu huku kamera zikimlika tukaonyeshwa wote kwamba Nape njaa ilipompiga akaenda kwa godfather.

Chezea njaa wewe, leo tena kaja kivingine hahahhaha anajidanganya tumesahau gori la mkono na kutuzimia bunge live ili ajipendekeze kwa godfather.

Wanasiasa wa bongo akili zao wanazijua wenyewe tu!!
 
Huyu HARAKAHARAKA anaroho mbaya sana,ameanza hizi kelel baada ya kuona tu FREBRUARY inakuja juu ya JANUARY.
 
Hapa ndipo inapoonekana tofauti kati ya Nape na Polepole, wakati Nape anajiweka mbele kila wakati ili akumbukwe kwenye ufalme wa ulaji aliotolewa.

Polepole anasema anachokiamini bila kujali kama anachosema mbele ya safari kitamgharimu nafasi aliyonayo bungeni, kwasasa Nape ndie kiongozi wa kundi la wachumia tumbo wa nchi hii.
Mbona alipokuwa kwenye uteule wa Uenezi alipinga rasimu ya warioba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom