Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
Amepotoka sana kama ni yeye kweli
Ni yeye Mkuu. Nenda Kwenye Akaunti yake huko Twitter. Tithiaraei nawaogopa sana siwezi sambaza uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepotoka sana kama ni yeye kweli
Kina wenyewe wa kufikirika tu.
CCM hakuna migogoro. CCM wako pamoja sana
Kiroboto si yule mnafiki aliyetetea katiba mpya, alipopewa cheo akawanunua wapinzani KWA hela za walipakodi Ili Waunge mkono juhudi hewa na ulaghai!;
Ni fedha kiasi gani zilipotea kwenye chaguzi feki ukilinganisha na TRA bills za kodi za hao wahuni??
Maswali gani, enzi akitafuna mnofu huko ccm aliikanya mpaka Korona na kuipiga mikwala eti ikae kimya.Maswali ya Polepole ni ya msingi. Wasimshambulie kwa mipasho.
JPM alikuwa outsider ndani ya ccm,wenyewe ni wale waliozaliwa ndani ya ccm na wazazi Wana ccm,Nauyes,mwinyis,mkapas,kikwetes,lowasas,pindas,Sitaki maneno mengi, Nakuletea Screenshoot ya Tweet ya Mh. Nape. Sijaielewa kabisa hebu mwenyw ufahamu anisaidieView attachment 2040808
Nisadieni kumjua
Godfather
Kiroboto
Kinawenyewe ? Nini hicho !? Kitanda au kisiwa au Kijiji.
unaweza kutusaidia ushahidi wa hayo madai .CCM ya Nape kuzomewa inamaana kulikua na uhuru wa kuongea na kutoa maoni. CCM ya Polepole waliotoa hoja waliuwawa kama Ben Saanane, waandishivwa habari za uchunguzi wakipotea kama Azory Gwanda.
Magufuli aliifufua CCM iliyouliwa na awamu ya nne.
Sawa, sema , polepole na Nape wako na bifu personal,, itakuwa polepole alikuwa akiwachongea sana kina Nape kwa jpm,,, ujue polepole amekaa kaa kichawa sana.. [emoji23][emoji23]
Tunasahau haraka mkuuNape naye alisimamia sakata la Makonda na Clouds hadi akapoteza uwaziri!
Nafikiri 'ina wenyewe' ya kina kikwete na mkapa n.k ina maana tofauti na hii 'ina wenyewe' ya huyu nape.Nimekupa "like" lakini hivi ni kweli hujui CCM ina wenyewe??
Haya maneno yamesemwa na Mkapa, Kikwete na Mheshimiwa Amani Abeid Amani Karume. Unataka ayaseme nani ili uamini CCM ina wenyewe???
Don Vito Corleone, head of a mafia family, decides to hand over his empire to his youngest son Michael. However, his decision unintentionally puts the lives of his loved ones in grave danger.Kabla ya yote naomba nielekezwe Godfather ndio nani kwanza😅 maana kiroboto najua ni Juma Kassim Nature!
Yah hii demokrasia ya kurithishana mikoba kama waganga wa jadi haitufai[emoji28]
Nape anajiweka mbele mbele Mama amuone apewe shavu lakini wapi?watu kama hawa ni wa kuogopa kama ukoma,wapo kwa ajili ya matumbo yao,Magufuli aliwaweka pembeni wakaanza kumponda.Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii;
"Aaaah kiroboto🤣🤣ulishindwa akiwepo godfather utaweza leo?!!? Kina wenyewe shekh! Lakini ni kawaida punda roho ikiwa inaacha mwili hutupa mateke 🎼NONSENSE!!"
View attachment 2040636
View attachment 2040592
Hawa akina Nape hua wanajiona wao ndio wanastahili sana ndani ya ccm na nchi.Hapa ndipo inapoonekana tofauti kati ya Nape na Polepole, wakati Nape anajiweka mbele kila wakati ili akumbukwe kwenye ufalme wa ulaji aliotolewa.
Polepole anasema anachokiamini bila kujali kama anachosema mbele ya safari kitamgharimu nafasi aliyonayo bungeni, kwasasa Nape ndie kiongozi wa kundi la wachumia tumbo wa nchi hii.
Kila chama hapa Tanzania kina wenyewe.Chama kina Wenyewe - Kumbe CCM iko mifukoni mwa watu wachache kumbe. Ina maana wana uwezo wa kufanya wanachotaka na ata nchi iko mfukoni mwa wachache. Africa kuna shida sana.
kwahiyo kuzomea ni sehemu ya demokrasia, ok sawa.CCM ya Polepole ilijaza hata wana-CCM wenyewe woga usio wa nchii hii. Ilikuwa ni mwiko kuwa na maoni tofauti. So kutozomewa ni woga.
CCM ya Nape ilikuwa na demokrasia ndo maana ilizomewa mana watu walikuwa na uhuru wa kukosoa.
Jpm ndo aliimaliza kabisa ccm bahati tu uchaguzi uliporwa Sana vinginevyo ccm wangerudi kumi tu bungeniMagufuli aliifufua CCM iliyouliwa na awamu ya nne.