Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Kiroboto si yule mnafiki aliyetetea katiba mpya, alipopewa cheo akawanunua wapinzani KWA hela za walipakodi Ili Waunge mkono juhudi hewa na ulaghai!;

Ni fedha kiasi gani zilipotea kwenye chaguzi feki ukilinganisha na TRA bills za kodi za hao wahuni??

Mmmh Samahani Mkuuu unaweza fafanua zaidi.
 
Kumbe huyu jamaa naye ni pimbi
Huyu naye alikuwa waziri
Huyu naye alikuwa kiongozi wa chama

Tata mura..CCM ni wangese sijawai ona
Kule wamejaa maatahahilaaaaa😅😅😅😅😃
 
Sitaki maneno mengi, Nakuletea Screenshoot ya Tweet ya Mh. Nape. Sijaielewa kabisa hebu mwenyw ufahamu anisaidieView attachment 2040808

Nisadieni kumjua
Godfather
Kiroboto
Kinawenyewe ? Nini hicho !? Kitanda au kisiwa au Kijiji.
JPM alikuwa outsider ndani ya ccm,wenyewe ni wale waliozaliwa ndani ya ccm na wazazi Wana ccm,Nauyes,mwinyis,mkapas,kikwetes,lowasas,pindas,
Wenye mizizi mirefu tangu uhuru
 
CCM ya Nape kuzomewa inamaana kulikua na uhuru wa kuongea na kutoa maoni. CCM ya Polepole waliotoa hoja waliuwawa kama Ben Saanane, waandishivwa habari za uchunguzi wakipotea kama Azory Gwanda.
unaweza kutusaidia ushahidi wa hayo madai .

Unatathimini vp mazingira ya kutoa maoni leo ktk awamu hii ukilinganisha na awanu ya nne.
 
Hahaaaa!!!ndyomana hakinenepi kile kichawa
Sawa, sema , polepole na Nape wako na bifu personal,, itakuwa polepole alikuwa akiwachongea sana kina Nape kwa jpm,,, ujue polepole amekaa kaa kichawa sana.. [emoji23][emoji23]
 
Ukweli ni kwamba, CCM ya Nape ndo iliyokuwa imechakaa kwa kiwango cha Lami.
Wakati ule, mwana CCM kuvaa T-shirt au Kofia ya Chama ilikuwa ni kama kuvuta Bangi mbele ya Polisi.
JPM na akina POLEPOLE ndio waliorudisha imani kwa Wananchi na kuendelea kuiamini CCM mpaka leo.
Nape atakuwa na lipi jipya leo hii?
CCM ilipoteza kabisa imani kwa Wananchi wakati ule wa akina Nape.
 
Nimekupa "like" lakini hivi ni kweli hujui CCM ina wenyewe??

Haya maneno yamesemwa na Mkapa, Kikwete na Mheshimiwa Amani Abeid Amani Karume. Unataka ayaseme nani ili uamini CCM ina wenyewe???
Nafikiri 'ina wenyewe' ya kina kikwete na mkapa n.k ina maana tofauti na hii 'ina wenyewe' ya huyu nape.
 
Kabla ya yote naomba nielekezwe Godfather ndio nani kwanza😅 maana kiroboto najua ni Juma Kassim Nature!
Don Vito Corleone, head of a mafia family, decides to hand over his empire to his youngest son Michael. However, his decision unintentionally puts the lives of his loved ones in grave danger.
 
Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii;


"Aaaah kiroboto🤣🤣ulishindwa akiwepo godfather utaweza leo?!!? Kina wenyewe shekh! Lakini ni kawaida punda roho ikiwa inaacha mwili hutupa mateke 🎼NONSENSE!!"
View attachment 2040636
View attachment 2040592
Nape anajiweka mbele mbele Mama amuone apewe shavu lakini wapi?watu kama hawa ni wa kuogopa kama ukoma,wapo kwa ajili ya matumbo yao,Magufuli aliwaweka pembeni wakaanza kumponda.
Haaminiki huyu nae
 
Hapa ndipo inapoonekana tofauti kati ya Nape na Polepole, wakati Nape anajiweka mbele kila wakati ili akumbukwe kwenye ufalme wa ulaji aliotolewa.

Polepole anasema anachokiamini bila kujali kama anachosema mbele ya safari kitamgharimu nafasi aliyonayo bungeni, kwasasa Nape ndie kiongozi wa kundi la wachumia tumbo wa nchi hii.
Hawa akina Nape hua wanajiona wao ndio wanastahili sana ndani ya ccm na nchi.
 
Chama kina Wenyewe - Kumbe CCM iko mifukoni mwa watu wachache kumbe. Ina maana wana uwezo wa kufanya wanachotaka na ata nchi iko mfukoni mwa wachache. Africa kuna shida sana.
Kila chama hapa Tanzania kina wenyewe.

TLP - YA MREMA
ACT- YA Zitto
CUF- MALI YA LIPUMBA
NCCR- YA MBATIA
CHADEMA - YA MZEE MTEI NA MKWEWE

hebu tuweni ni wenye kuukubali ukweli.

Dunia ina wenyewe iwe CCM??? Wenye dunia wameleta COVID 19 na wana- dictate namna ya kufanya mambo iwe CCM ???

Kwanini Watanzania tunakuwa wagumu kuukubali ukweli na kujipa matumaini hewa??
 
CCM ya Polepole ilijaza hata wana-CCM wenyewe woga usio wa nchii hii. Ilikuwa ni mwiko kuwa na maoni tofauti. So kutozomewa ni woga.

CCM ya Nape ilikuwa na demokrasia ndo maana ilizomewa mana watu walikuwa na uhuru wa kukosoa.
kwahiyo kuzomea ni sehemu ya demokrasia, ok sawa.

Lakini kumbuka ilikuwa ni zomea zomea iliyofungamana na matusi na udhalilishaji dhidi ya mfuasi wa ccm hasa akiwa kijana..
Haukuwa ustaarabu..

Basi, acha nikukubalie kuwa kuzomewa kwa kada wa ccm ni uhuru wa kutoa maoni..

Vp unasemaje kuhusu ile zomea zomea ya mbowe kule jimboni kwake?
je nako ni kushamiri kwa uhuru maoni?
 
Back
Top Bottom