Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Nape hakopeshi maneno, anasema kavu kavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape hakopeshi maneno, anasema kavu kavu
Eti nyie mliotembea naomba mtuambie , hivi kauli kama hii kwenye nchi za wenye akili timamu sio kosa la jinai?
SanaHatari.
Kasema kweli tupu
Iko wazi kabisaCCM haiwezi kushinda kwa haki
Haya maneno ya Nape ndio msimamo wa CCM.
Nape kaongea ukweli wa moyoni na kile kinachofanyika ktk chaguzi.
Huo ndiyo ukweli, anayechangua siyo mpiga kura, bali muhesabu kura
Kwahiyo wanaendelea kusema ukweli au wameishia hapo tu
HahahaKumbe ndy maana wakiambiwa tume huru wanashupaza shingo kwa ubishi🤣🤣
Hii Kauli haikubaliki na haita kubalika. Muda utaongea, tumechoka.
Hii kauli tunaituma Umoja wa Mataifa.
Alishatamka juu ya bao la mkono. Mkadhania labda anaongelea masturbation aka punyeto.
Leo je?
Kwa nini kupoteza resources za vyama vyetu? Huku ushindi unatolewa na anayehesabu kura?
View attachment 3044157
Hata, hivyo, kuna kosa gani alilofanya katika serikali hii!? 🤔...
Mimi binafsi, kutoka katika sakafu ya moyo wangu, sioni ajabu, sishangai na wala sikasirishwi na alichokisema Mh. Nape (tena natumia neno Mh. nikimaanisha anastahili kuitwa Mh.)...
Jamani, si tunataka kiongozi mkweli, ambaye si mnafiki?
Sasa Mh. Nape amekosea kitu gani kuweka wazi kile ambacho wasimamizi wa uchaguzi (inayoitwa tume huru ya uchaguzi) wamekuwa wakikifanya kwa miaka yote?
Kosa lake ni lipi jamani? Kusema ukweli? Mnataka kusema kwamba mlikuwa hamjui kwamba anachokisema Nape ndo huwa kinafanyika siku zote? Uchaguzi wa 2019 (serikali za mitaa) na 2020 (madiwani, wabunge na Rais) anachosema Nape si ndo kilifanyika?
Wote mnajua na mmeshuhudia kile alicho kisema Nape!
Kwa maoni yangu, tunawahitaji viongozi wengi aina ya Nape Mnauye. Pengine umma utawaelewa...na hatimaye labda ufanye uamzi stahiki wa kuchukua hatua.
Nionavyo mimi,Nape ni kama Yuda Iskariotu, mpango wa Mungu usingekamilika bila Yuda Iskarioti kufanya alicho fanya!
Wenye kunielewa wameelewa, ambao hamjanielewa, KAZI IENDELEE
Anamuwakilisha Rais hapo
Ccm ndiyo wasimamizi wa uchaguzi
Ccm ndiyo wanaohesabu kura
Ulinzi na usalama pia ccm
Sasa kwa hayo tu utamuweza kweli
Ova
Yote hayo watanzania wanayajua vzr sana,hakuna uchaguzi CCM wameshinda hapa Tanzania,toka tumeanza siasa na chaguzi za vyama vingi mwaka 1995.
Nape Nnauye amesema Ukweli mchungu Sana, na ndiyo uhalisia wenyeweNaunga mkono hoja, tatizo sio kauli ya Nape, tatizo alichokisema is the reality, hivyo Nape ashukuriwe kutusaidia kulijua hili tu deal nalo. Kuelekea 2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?
Akina sisi tumelizungumza sana hili humu,
- CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
- Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
Mimi nimeshauri Kuelekea 2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!
P