Pre GE2025 Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Shambolic!

Nchi zinazojielewa kwa kauli hiyo hili kubwa jinga ingekuwa imefanyiwa kazi na tume ya maadili na saa hizi angekuwa mahabusu akisubiri kusomewa mashtaka na hukumu kwa kuvuruga utaratibu wa kidemokrasia wa wananchi kuchagua viongozi wanaowataka .

Matokeo ya ushenzi huo ndio mnaona kwa hilo bunge uchwara la chama kimoja lisilo na meno kuiwajibisha serikali.
 
Kabisa mkuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…