boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Ilo liko wazi kabisa ni suala Mda tuMiaka 50 ijayo nikiwa hai ama nimekufa Tanzania itakuwa kwenye deadly civil war.
Kwa sababu wanatujua vizuri.Kwanini viongozi wamekuwa na dharau namna hii
Mtu akisema Mara moja inaweza kuwa utani lakini akirudia zaidi ya mara moja sio utani huwa ni kweli anachosema.Hii kauli ulisema 2015 ,ukasema 2020 na leo unarudia sijawahi kuona watu waoga kama Chadema
USSR
Vyombo vyote vya dola wale wote top wananufaika na mfumo wale ambao hawana vyeo hawana maamuzi zaidi ya kufuata odaNani kasema anaenufaika na mfumo ndio ajipindue?
Unapata wapi hilo?
AmenEe
Mungu Mwenyezi tunamuomba tukuone ukisimama mwenyewe juu ya dharau na dhihaka hizi juu ya watu wako. (Zaburi 109.)
Kusema ukweli hamna wa kumshinda mama Samia 2025. Fomu ni moja. Kazi kwenu wapinga maendeleo
Sio tu maigizo.....yani Uchaguzi kwao ni kama Highlight tuNEC na CCM mpk sasa wanajua mshindi ni nani 2025, uchaguzi ni maigizo kwao
imagine samia anavyopambana kuwaaminisha wananchi kwamba uchaguzi utakuwa huru na haki, na mwaka huu na mwakani ndio mazingira yenyewe ya uchaguzi, sawa na unaenda msibani afu unafanyia utani wafiwa bila kusubiri msiba uishe, nape ametoa utani mbaya sana kwenye majira ya uchaguzi. this is too detrimental na wanatakiwa kumwajibisha.Nape Nnauye amekiri wazi kuwa CCM huwa inaiba kura, kwa hiyo ni vema umwondoe kwenye uwaziri mtu huyu kabla sisi wananchi hatujampeleka mahakamani.
Tatizo ni wananchi kuelimika na kutumia haki zao tu.Vyombo vyote vya dola wale wote top wananufaika na mfumo wale ambao hawana vyeo hawana maamuzi zaidi ya kufuata oda
Naam, umeniita?
Kwahiyo wewe usiyechadema imeridhika au?, paza sauti ya kukemea taifa linaenda pabaya. Huyo katamka wezi walioweka moyoni je?Hii kauli ulisema 2015 ,ukasema 2020 na leo unarudia sijawahi kuona watu waoga kama Chadema
USSR