Nape Nnauye: Mzee Magufuli alikuwa mtu mwema sana.

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,844
Reaction score
9,916
Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.

Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.

" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini".

Huyu bwana mdogo kakutwa na nini? Si alionesha kufurahishwa na kifo cha JPM?
 
Attachments

  • 1791051520452.png
    1791051520452.png
    436.1 KB · Views: 11
  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    1.2 MB · Views: 12
  • 20260930_221723.jpg
    20260930_221723.jpg
    57.6 KB · Views: 9
Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.

Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.

" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini".

Huyu bwana mdogo kakutwa na nini? Si alionesha kufurahishwa na kifo cha JPM?
Sasa kanisani MADA za siasa zilitoka wapi ? Nape ni Kijana?
 
Unaposema Nape Nnauye mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi alionesha kufurahishwa na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hon: John Pombe Magufuli Una maana gani?

Ni wapi nape alitamka au kuandika kuonesha kafurahia
 
Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.

Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.

" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini".

Huyu bwana mdogo kakutwa na nini? Si alionesha kufurahishwa na kifo cha JPM?
sasa anamtumikia nani?
 
Unaposema Nape Nnauye mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi alionesha kufurahishwa na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hon: John Pombe Magufuli Una maana gani?

Ni wapi nape alitamka au kuandika kuonesha kafurahia
Rejea hotuba yake kwa wakazi waMtama siku ya kumpokea Membe
 
Chezea kutembezwa toka Getini na jua Kali km lile na goti juu kapiga
 
Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.

Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.

" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini".

Huyu bwana mdogo kakutwa na nini? Si alionesha kufurahishwa na kifo cha JPM?
JPM 'alisema mtanikumbuka kwa mazuri yangu'
 
Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.

Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.

" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini".

Huyu bwana mdogo kakutwa na nini? Si alionesha kufurahishwa na kifo cha JPM?
Akizidi kunyoosha maelezo maelezo atapotezwa soon, hii timu iliyokwapua usukani haina permanent ally. Combination ya timu Kizimkazi+Msoga ziko moto kuandaa watakaopokea kijiti.
NB: Mengi ya tunayoyaona yalianzishwa na Jiwe.
 
Back
Top Bottom