StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Siku hizi kumbe Wema wanakufa?Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.
Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.
" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini".
Huyu bwana mdogo kakutwa na nini? Si alionesha kufurahishwa na kifo cha JPM?