Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.
Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.
" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini".
Huyu bwana mdogo kakutwa na nini? Si alionesha kufurahishwa na kifo cha JPM?
Sasa kanisani MADA za siasa zilitoka wapi ? Nape ni Kijana?Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.
Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.
" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini".
Huyu bwana mdogo kakutwa na nini? Si alionesha kufurahishwa na kifo cha JPM?
Kwani ni mzee?Sasa kanisani MADA za siasa zilitoka wapi ? Nape ni Kijana?
sasa anamtumikia nani?Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.
Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.
" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini".
Huyu bwana mdogo kakutwa na nini? Si alionesha kufurahishwa na kifo cha JPM?
Sijuisasa anamtumikia nani?
Magufuli alikuwa sahihi kumuita Nape kijana wakeSasa kanisani MADA za siasa zilitoka wapi ? Nape ni Kijana?
Rejea hotuba yake kwa wakazi waMtama siku ya kumpokea MembeUnaposema Nape Nnauye mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi alionesha kufurahishwa na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hon: John Pombe Magufuli Una maana gani?
Ni wapi nape alitamka au kuandika kuonesha kafurahia
Weka hata clip hapa bossRejea hotuba yake kwa wakazi waMtama siku ya kumpokea Membe
JPM 'alisema mtanikumbuka kwa mazuri yangu'Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.
Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.
" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini".
Huyu bwana mdogo kakutwa na nini? Si alionesha kufurahishwa na kifo cha JPM?
Watamkumbuka waliokula naye Cake ya TaifaJPM 'alisema mtanikumbuka kwa mazuri yangu'
Akizidi kunyoosha maelezo maelezo atapotezwa soon, hii timu iliyokwapua usukani haina permanent ally. Combination ya timu Kizimkazi+Msoga ziko moto kuandaa watakaopokea kijiti.Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.
Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.
" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini".
Huyu bwana mdogo kakutwa na nini? Si alionesha kufurahishwa na kifo cha JPM?
Hivi ni kweli alitambaa kwa magoti kutoka getini hadi ndani?Chezea kutembezwa toka Getini na jua Kali km lile na goti juu kapiga
HahahaaChezea kutembezwa toka Getini na jua Kali km lile na goti juu kapiga
We hukuona kwaniHivi ni kweli alitambaa kwa magoti kutoka getini hadi ndani?
ππππ