Nape Nnauye: Najua nitateuliwa! Wakituchokoza, tutashughulika nao (VIDEO)

Nape Nnauye: Najua nitateuliwa! Wakituchokoza, tutashughulika nao (VIDEO)

Salaam, Shalom!!

Nimesikia kauli ya aliyekuwa Waziri wa habari Nape Nnauye mbele ya Waziri mkuu Kassim Majaliwa kuwa Yeye na kikundi chake hawako tayari kufanya siasa za kistaarabu ikiwa watachokozwa.

Sasa tunajiuliza, mtu ambaye amefika Hadi kuwa waziri wa habari, anashindwaje kujua kuwa KAZI ya kutuliza ghasia ni ya Polisi na vyombo vya ulinzi na USALAMA?

Ilifika time Hadi waziri mkuu anatamani kuzuia asiendelee kuongea Kwa jinsi alivyokuwa akimtizama, utovu huu wa nidhamu, usiruhusiwe kuendelea.

Ombi: Kamati Ile maalum CCM ,ilifyeke mapema kabisa Jina la Nape Nnauye ikiwa atachukua fomu kugombea 2025.

Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿, Amen
 
Duuh kwamba huamini?

Hii sasa ni home of great sinkers not thinkers
Usikimbilie kudegrade JF.

Wewe na mimi kila mmoja yupo huru kuleta content yenye fact.

  1. Nakuuliza. Huyo kwenye video ni Nape au siyo Nape?
  2. Hayo maneno anayoyasema yanakubalika?
  3. Hapo anapoongea ni jimboni Mtama au wapi?
  4. Utetezi wako unakufichua behind the MAKS😃
 
Maneno aliyoyatoa mbele ya Waziri Mkuu jimboni Mtama yangetolewa na kiongozi wa chama cha upinzani angeshapewa kesi kubwa kama Uhaini au inayokaribia.

Msikilize kwenye video hii......
Ukikaona ka toto ka mbwa kanabweka juwa Mama yupo karibu
 
Tunataka waibe halafu na waangalizi wa Kimataifa washuhudie ili tuliamshe zaidi hata Gez Z wa Kenya.

Na Dunia nzima itatusapoti kama Bangladesh.
Wakulianzisha kwa sasa bado siwaoni, na kuiba wataiba vilevile. Dunia haina uwezo wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi.
 
Back
Top Bottom