Nape Nnauye: Najua nitateuliwa! Wakituchokoza, tutashughulika nao (VIDEO)

Nape Nnauye: Najua nitateuliwa! Wakituchokoza, tutashughulika nao (VIDEO)

Hapo kama uko timamu ndo utajua.

Huyo jamaa ni uroho wa madaraka unamsumbua na si kingine na hana sifa ya kuwa kiongozi.

Kiongozi mwenye utimamu hawezi kuwa na uropokaji tu wa hovyo aina hiyo.
 
Maneno aliyoyatoa mbele ya Waziri Mkuu jimboni Mtama yangetolewa na kiongozi wa chama cha upinzani angeshapewa kesi kubwa kama Uhaini au inayokaribia.

Msikilize kwenye video hii......
This dude is so far up his ass kiasi kwamba hata hajui anachosema.
 
Wamesababisha maisha magumu Sana na hawana mda wa kujisahihisha.
 
Maneno aliyoyatoa mbele ya Waziri Mkuu jimboni Mtama yangetolewa na kiongozi wa chama cha upinzani angeshapewa kesi kubwa kama Uhaini au inayokaribia.

Msikilize kwenye video hii......
Afukuzwe uanachama ccm.
 
Maneno aliyoyatoa mbele ya Waziri Mkuu jimboni Mtama yangetolewa na kiongozi wa chama cha upinzani angeshapewa kesi kubwa kama Uhaini au inayokaribia.

Msikilize kwenye video hii......
He is trying to impress his boss
 
Usikimbilie kudegrade JF.

Wewe na mimi kila mmoja yupo huru kuleta content yenye fact.

  1. Nakuuliza. Huyo kwenye video ni Nape au siyo Nape?
  2. Hayo maneno anayoyasema yanakubalika?
  3. Hapo anapoongea ni jimboni Mtama au wapi?
  4. Utetezi wako unakufichua behind the MAKS😃
Mkuu nimeshangaa kutojua hili. Hii video ilitrend juzi huko Twitter Kuna online media moja(mkombozi) ndio waliiweka, nadhani walitafuta tu trend japo waliambiwa si ya mwaka huu Ina muda mrefu

Pia hao hazungumzii kuteuliwa nafasi ya uwaziri, hapo ilikua ni kupitishwa kura za maoni jimboni

Hata hivyo kwani hujui waziri mkuu ana muda yupo nje ya nchi ziara ya kikazi?
 
Cover yourself well

Hilo ndo naweza kusema kwa sasa
 
Cover yourself well

Hilo ndo naweza kusema kwa sasa
Mkuu hapo nilichokueleza ni sahihi, naona mods wameiunga hii thread yako na hiyo ya 2020 ambayo ndio ya hili tukio lenyewe. Hadi hapa naamini umeelewa

Mtandaoni usichukue kitu haraka na ikitokea mtu kakukumbusha basi kabla ya kubisha unapaswa kutafuta ukweli
 
Back
Top Bottom