Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Nape na January hata wakijipendejeza vipi hawafai kuaminiwa na Rais yeyote!Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye akihojiwa na Mwananchi amependekeza kwamba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka 2030....
Acha kiki wereMbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye akihojiwa na Mwananchi amependekeza kwamba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka 2030...
Huyu kifutu hana lolote, Mama yuko smart haingiliki kwa cheap politics. Alimuuza Membe kwa meko kama anauza njugu.Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye akihojiwa na Mwananchi amependekeza kwamba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka 2030..
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu apelekwe ubelgiji maana akili zake hazieleweki. Sasa kwanini alienda kuomba msamaha Kama yeye ni shujaa?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kashaharibu, bora angeendelea kukaaa kimya!Nape nnauye unaharibu.
Unaanza kutanish imge yako...
Tupo hapa!Kwa utamaduni wa CCM Rais Samia atadumu madarakani hadi 2030.
Huo ndio utaratibu Nape anakumbushia tu maana asije akaibuka Membe mwingine akaleta figisu zake 2025!
Nape Nnauye mbunge wa jimbo la Mtama leo ameamua kufunguka liwalo na liwe.
Amesema kuwa mama Samia ni mwanasiasa mzuri tofauti na mtangulizi wake hayati Magufuli. Aidha Nape anasema kuwa mama Samia ameletwa kutufariji wakati wa msiba na ataendelea kutufariji.
Nimemnukuu Nape kama alivyosema leo.
Hawa akina Nape na njaa zao ndio watatuvurugia Rais wetu Samia.
Huyu Nape kama aliweza kumsengenya Magufuli atashindwaje kumfitini mama yetu?
Wamakonde hawanaga misimamo!
Nape huyuhuyu 🤣🤣🤣🤣Aiseee yanayoendelea nchini kwetu naona aibu mimi
Siyo kumsengenya, yale ni maongezi ya kawaida ya faragha ya watu. Tulitakiwa kumkomalia Jiwe kwanini anaingilia faragha za watu?Hawa akina Nape na njaa zao ndio watatuvurugia Rais wetu Samia.
Huyu Nape kama aliweza kumsengenya Magufuli atashindwaje kumfitini mama yetu?
Wamakonde hawanaga misimamo!
Kumsema vibaya mtangulizi wa Rais Samia ni kumsengenya Rais Samia bila kutambua hilo, hivyo busara itumike katika hilo hata kama ni suala la chuki binafsi
Nape si mmakondeHawa akina Nape na njaa zao ndio watatuvurugia Rais wetu Samia...