SanaKatiba mpya ni mhimu
Wamewahonga media karibu zote wasitangaze lakini kila kukicha watu wanafuatiliwa na kutekwaNape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale.
Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
Umeandika nini mkuu. Rudia kusoma utajiona falaNape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale.
Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
Hehehe awamu ya tano iliacha vituko na vichekesho.Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale.
Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
Uongo haukusaidii kitu.Wamewahonga media karibu zote wasitangaze lakini kila kukicha watu wanafuatiliwa na kutekwa
Umesema kweli Sana, yule alikuwa mshenzi Sana! Kayafa!kayafa alikua mungu mtu ukimkosoa jiandae kuminywa mbupu kwa praizi
Uongo hup sasa wakati sakata la Liliondo? Unakumbuka wale vijana wa5 waliopotea na mpk leo hawajulikani walipo? Unakumbuka kuwa Ndugai alishinikizwa ajiuzuulu? Unajua ka Bashiru Ally nae yuko kikaangoni? Unajua kuwa Mpina nae ashakaliwa vikao? Je ndugu wa Catherine Ruge walioua kule Mara?U
Uongo haukusaidii kitu.
Uongozi wa Rais Samia is far better then the previous one.
Nape yuko sahihi.
Ndugai, Bashiru, mpina wanafiki tu wote hao.Uongo hup sasa wakati sakata la Liliondo? Unakumbuka wale vijana wa5 waliopotea na mpk leo hawajulikani walipo? Unakumbuka kuwa Ndugai alishinikizwa ajiuzuulu? Unajua ka Bashiru Ally nae yuko kikaangoni? Unajua kuwa Mpina nae ashakaliwa vikao? Je ndugu wa Catherine Ruge walioua kule Mara?
Mkuu hao wanufaika wa Awamu ya tano wasikusumbue kazi yao ni kuusagia utawala wa Samia Kunguni bila sababu za msingi.U
Uongo haukusaidii kitu.
Uongozi wa Rais Samia is far better then the previous one.
Nape yuko sahihi.