MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Kayafa alitisha enzi zake kuongelea siasa ilikua huruhusiwi hata kwenye vijiwe vya kahawa ukitaka wakufukuze zungumzia siasa kipindi HICHO watakufukuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana yoauti yoyote naww yaniNdugai, Bashiru, mpina wanafiki tu wote hao.
Wakosoaji gani hao mkuu hawa wa mitandaoni au wapi? Maana kipindi cha Magufuli humu mitandaoni walimkosoa sana na hadi kumtukana na walifanya hivyo kipindi chake chote cha uongozi na wanaendelea hadi leo akiwa kafa.Samia is beter mara mia kuliko Mwendazake..
Utawala wa Magufuli ulikuwa hauvumilii wakosoaji, Watu walikuwa wanawindwa kama Digidigi mchana kweupe na hatimae kupotezwa never to be seen again.
Wala husikii watu wakifunga na kukimbia madukaNape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale.
Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
Kuhoji Phd ya Magufuli tu kumesababisha Ben saanane apotezwe.Wakosoaji gani hao mkuu hawa wa mitandaoni au wapi? Maana kipindi cha Magufuli humu mitandaoni walimkosoa sana na hadi kumtukana na walifanya hivyo kipindi chake chote cha uongozi na wanaendelea hadi leo akiwa kafa.
Sasa niambie akina nani wanamkosoa Samia nje ya mitandao kisha wakavumiliwa?
Job Ndugai kama asingemkosoa Samia pengine angekuwa anaendelea na uspika wake hadi sasa, Polepole kazibwa mdomo na cheo, na sasa tunaona Bashiru yanayomtokea kisa kamkosoa Samia. Sasa huo uvumilivu mnaousema ni upi ni huu wa mitandao ambao nao wanajaribu kuudhibiti kupitia wizi wa bando?
Apumue yeye kwanza..., anazungumzaje hivyo?!Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale.
Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
Huyu mpuuzi naye hana loloteNape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale.
Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
Naunga mkono hoja, Samia ni mawaza haki, msema haki na mtenda haki!, Watanzania tuseme Asante Mungu kwa Samia!. Asante Mungu kwa Rais Samia: Ni Msema Kweli na Mtenda Kweli, Ni Msema Haki na Mtenda Haki. Je, Ataruhusu Ubatili Huu Kuendelea Ndani ya Katiba Yetu?Huwezi kumfananisha Samia na Magufuli kwenye haki za binadamu Samia yuko vizuri.
Kuhoji Phd ya Magufuli tu kumesababisha Ben saanane apotezwe.
Leo hii Mtu akihoji elimu ya Samia sidhani kama atapotezwa kinyama.
Magufuli alikuwa hataki critics hataki akosolewe iwe Mitaani au mitandaoni na alianzisha kikosi cha wasiojulikana kwa sababu ya kuuwa na kutesa wakosoaji wake.
Huwezi kumfananisha Samia na Magufuli kwenye haki za binadamu Samia yuko vizuri.
Tatizo mkuu huna huo mfano hata mmoja sasa wa huo uzuri wa Samia kwenye uvumilivu wa kukosolewa, mimi nimekupa mifano ya ubaya wa Samia kuwa hapendi kukosolewa kuanzia Ndugai hadi sasa Bashiru.Kuhoji Phd ya Magufuli tu kumesababisha Ben saanane apotezwe.
Leo hii Mtu akihoji elimu ya Samia sidhani kama atapotezwa kinyama.
Magufuli alikuwa hataki critics hataki akosolewe iwe Mitaani au mitandaoni na alianzisha kikosi cha wasiojulikana kwa sababu ya kuuwa na kutesa wakosoaji wake.
Huwezi kumfananisha Samia na Magufuli kwenye haki za binadamu Samia yuko vizuri.
Tena wanaua kwa sumu ya 6 months. Ogopa sana kipindi hili. Serikali ya Dkt Magufuli na Mama Samia ya awamu ya 5 haikuwa inaua watu ila genge la mabeberu waliua watu na wao kutengeneza hizo story ili wapate kuichafua serikali hilo hilo kundi sasa linaendelea kazi yake ya kuua watu kimya kimya tena wanaua kweli kweli.Wamewahonga media karibu zote wasitangaze lakini kila kukicha watu wanafuatiliwa na kutekwa
Watu wanajisaulishe tu, Zitto hadi kamwita Magu ni mshamba tunaongozwa na rsis mshamba ila hakuuliwa.Hivi enzi za Magu kina Zitto, Mbowe, Mnyika, Sugu, Mdee, Heche nk hawakuwahi kukosoa utendaji wa JPM!??
Mbona bado wapo hai
Samia anakifua kuliko yule Ibilisi.Tatizo mkuu huna huo mfano hata mmoja sasa wa huo uzuri wa Samia kwenye uvumilivu wa kukosolewa, mimi nimekupa mifano ya ubaya wa Samia kuwa hapendi kukosolewa kuanzia Ndugai hadi sasa Bashiru.
Walikiona cha motoHivi enzi za Magu kina Zitto, Mbowe, Mnyika, Sugu, Mdee, Heche nk hawakuwahi kukosoa utendaji wa JPM!??
Mbona bado wapo hai
Umeupima kwa mizania ipi??U
Uongo haukusaidii kitu.
Uongozi wa Rais Samia is far better then the previous one.
Nape yuko sahihi.
Toa mifano hai ya hizo sifa unazotaka kumpa.Samia anakifua kuliko yule Ibilisi.