Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa

Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa

U

Uongo haukusaidii kitu.

Uongozi wa Rais Samia is far better then the previous one.

Nape yuko sahihi.
Jizi linamsafisha jizi mwenzie haya endelea lakini mwisho wenu upo karibu sana madamu mmeshamua kujipambanua ni watu wa aina gani
 
Tena wanaua kwa sumu ya 6 months. Ogopa sana kipindi hili. Serikali ya Dkt Magufuli na Mama Samia ya awamu ya 5 haikuwa inaua watu ila genge la mabeberu waliua watu na wao kutengeneza hizo story ili wapate kuichafua serikali hilo hilo kundi sasa linaendelea kazi yake ya kuua watu kimya kimya tena wanaua kweli kweli.
You are right, a day is fast encroaching when the mental and physical atrocities will be accounted for without mercy by the perpetrators
 
Tena wanaua kwa sumu ya 6 months. Ogopa sana kipindi hili. Serikali ya Dkt Magufuli na Mama Samia ya awamu ya 5 haikuwa inaua watu ila genge la mabeberu waliua watu na wao kutengeneza hizo story ili wapate kuichafua serikali hilo hilo kundi sasa linaendelea kazi yake ya kuua watu kimya kimya tena wanaua kweli kweli.
Speculations
 
Umeupima kwa mizania ipi??

Ukimuuliza mfanyabiashara ambaye kwa mfano mzigo wake wote wa Samaki umeoza kwa kukosa umeme 48 hours nadhani atakuwa na mtizamo tofauti
Huyo mfanya biashara ganj hana backup ya umeme wa generator?
 
Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale.

Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
Vijana wangapi wamekamatwa na kupigwa faini mahakamani Hadi mil 5 huku hawana uwezo hata wa 500k mpaka walipochangiwa vinginevyo wangeozea jela?
 
Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa, mambo yanakwenda. Wewe sema pumua ukalale.

Halafu sisi tutapima, la maana tutabeba, linalotokana tu na hasira utakuwa umesema, umepumua, sisi tumekusikia maisha yanaendelea na tunatamani Nchi ya namna hiyo.
Ndio maana wanakata umeme na maji hovyo
 
Samia is beter mara mia kuliko Mwendazake..

Utawala wa Magufuli ulikuwa hauvumilii wakosoaji, Watu walikuwa wanawindwa kama Digidigi mchana kweupe na hatimae kupotezwa never to be seen again.
Hivi hujasikia kesi za "kumdhalilisha Rais" ukisikia huo udhalilishaji unabaki mdomo Wazi?
 
Wakosoaji gani hao mkuu hawa wa mitandaoni au wapi? Maana kipindi cha Magufuli humu mitandaoni walimkosoa sana na hadi kumtukana na walifanya hivyo kipindi chake chote cha uongozi na wanaendelea hadi leo akiwa kafa.

Sasa niambie akina nani wanamkosoa Samia nje ya mitandao kisha wakavumiliwa?
Job Ndugai kama asingemkosoa Samia pengine angekuwa anaendelea na uspika wake hadi sasa, Polepole kazibwa mdomo na cheo, na sasa tunaona Bashiru yanayomtokea kisa kamkosoa Samia. Sasa huo uvumilivu mnaousema ni upi ni huu wa mitandao ambao nao wanajaribu kuudhibiti kupitia wizi wa bando?
Usijifanye umesahau, jamaa yetu hapa aliyetutengenezea hii platform walimpa kesi ya kishenzi kabisa, walitaka kumfunga na kumfilisi na kuipoteza JF nia kubwa ni kunyamazisha watu wa mitandaoni, karibu na uchaguzi alifungia internet nchi nzima kunyamazisha watu wa mitandaoni au umesahau? udikteta uchwara ni kitu cha ovyo sana
 
Tena wanaua kwa sumu ya 6 months. Ogopa sana kipindi hili. Serikali ya Dkt Magufuli na Mama Samia ya awamu ya 5 haikuwa inaua watu ila genge la mabeberu waliua watu na wao kutengeneza hizo story ili wapate kuichafua serikali hilo hilo kundi sasa linaendelea kazi yake ya kuua watu kimya kimya tena wanaua kweli kweli.
Mabeberu? kapimwe akili wewe
 
ALIKUWA WAPI KUYAZUNGUMZA KIPINDI KILE MWENYEWE AKIWEPO ?

HUO NI UNAFIKI.

NA HUENDA AWAMU HII IKIMALIZA MUDA WAKE IKAJA AWAMU NYINGINE ATAANZA KUISEMA VIBAYA. AACHE UNAFIKI.
 
Usijifanye umesahau, jamaa yetu hapa aliyetutengenezea hii platform walimpa kesi ya kishenzi kabisa, walitaka kumfunga na kumfilisi na kuipoteza JF nia kubwa ni kunyamazisha watu wa mitandaoni, karibu na uchaguzi alifungia internet nchi nzima kunyamazisha watu wa mitandaoni au umesahau? udikteta uchwara ni kitu cha ovyo sana
Kama unazungumzia udikteta basi hadi sasa bado upo ndio maana tunashuhudia kushambuliwa kwa meneno kwa Bashiru kisa tu katumia haki yake ya kutoa maoni wanataka anyamaze asikosoe.
 
Back
Top Bottom