Nape Nnauye: Tangu Rais Samia mnaona, hatusikii watu wanafinywa finywa

U

Uongo haukusaidii kitu.

Uongozi wa Rais Samia is far better then the previous one.

Nape yuko sahihi.
Jizi linamsafisha jizi mwenzie haya endelea lakini mwisho wenu upo karibu sana madamu mmeshamua kujipambanua ni watu wa aina gani
 
You are right, a day is fast encroaching when the mental and physical atrocities will be accounted for without mercy by the perpetrators
 
Speculations
 
Umeupima kwa mizania ipi??

Ukimuuliza mfanyabiashara ambaye kwa mfano mzigo wake wote wa Samaki umeoza kwa kukosa umeme 48 hours nadhani atakuwa na mtizamo tofauti
Huyo mfanya biashara ganj hana backup ya umeme wa generator?
 
Vijana wangapi wamekamatwa na kupigwa faini mahakamani Hadi mil 5 huku hawana uwezo hata wa 500k mpaka walipochangiwa vinginevyo wangeozea jela?
 
Ndio maana wanakata umeme na maji hovyo
 
Samia is beter mara mia kuliko Mwendazake..

Utawala wa Magufuli ulikuwa hauvumilii wakosoaji, Watu walikuwa wanawindwa kama Digidigi mchana kweupe na hatimae kupotezwa never to be seen again.
Hivi hujasikia kesi za "kumdhalilisha Rais" ukisikia huo udhalilishaji unabaki mdomo Wazi?
 
Usijifanye umesahau, jamaa yetu hapa aliyetutengenezea hii platform walimpa kesi ya kishenzi kabisa, walitaka kumfunga na kumfilisi na kuipoteza JF nia kubwa ni kunyamazisha watu wa mitandaoni, karibu na uchaguzi alifungia internet nchi nzima kunyamazisha watu wa mitandaoni au umesahau? udikteta uchwara ni kitu cha ovyo sana
 
Mabeberu? kapimwe akili wewe
 
ALIKUWA WAPI KUYAZUNGUMZA KIPINDI KILE MWENYEWE AKIWEPO ?

HUO NI UNAFIKI.

NA HUENDA AWAMU HII IKIMALIZA MUDA WAKE IKAJA AWAMU NYINGINE ATAANZA KUISEMA VIBAYA. AACHE UNAFIKI.
 
Kama unazungumzia udikteta basi hadi sasa bado upo ndio maana tunashuhudia kushambuliwa kwa meneno kwa Bashiru kisa tu katumia haki yake ya kutoa maoni wanataka anyamaze asikosoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…