Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Wanasiasa wa Tanganyika kwa kupambania matumbo yao hawajambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu makambako ateuliwe nape ana kimuhemuhe sana mawazo yake yoote anasikiliziaJe Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Kishandu huyoHii kama kweli hivi, kuna mshikaji wetu hapa kitaa bodabod wiki iliyopita kanunua samsung galaxy S10+ kwa 600k, kutokana na kaz yake kavunja kioo, juzi kachukua macho matatu, kaz zinafanyika