Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Oct 13, 2021 #101 Wanasiasa wa Tanganyika kwa kupambania matumbo yao hawajambo
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Oct 13, 2021 #102 Josh J said: Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia? Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake Click to expand... Tangu makambako ateuliwe nape ana kimuhemuhe sana mawazo yake yoote anasikilizia
Josh J said: Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia? Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake Click to expand... Tangu makambako ateuliwe nape ana kimuhemuhe sana mawazo yake yoote anasikilizia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 14, 2021 #103 Mambo bado vile vile magumu...
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 18,960 Reaction score 67,654 Dec 7, 2021 #104 Shikono Avant said: Hii kama kweli hivi, kuna mshikaji wetu hapa kitaa bodabod wiki iliyopita kanunua samsung galaxy S10+ kwa 600k, kutokana na kaz yake kavunja kioo, juzi kachukua macho matatu, kaz zinafanyika Click to expand... Kishandu huyo
Shikono Avant said: Hii kama kweli hivi, kuna mshikaji wetu hapa kitaa bodabod wiki iliyopita kanunua samsung galaxy S10+ kwa 600k, kutokana na kaz yake kavunja kioo, juzi kachukua macho matatu, kaz zinafanyika Click to expand... Kishandu huyo