Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Mheshimiwa Nape siku zote sauti yako kulinda na kutetea uhuru wa vyombo vya habari itaendelea kusikika kwenye masikio yetu.
 

Umepanga vzr yani duh hii vita sio ya kitoto
 
Makonda; nyie vijana wa Clouds nikisikia mmetoa siri hii ya Shilawadu wote nawaingiza kwenye orodha ya wauza madawa na kuwafunga miezi sita bila kupitia mahakamani ndio mtajua mimi ni nani.
Mpaka sasa nimeshamjua DAB ni nani. Yeye ndiye anayefuata baada ya JPM.
 
Utawara wa Abunwasi chini ya ushauri wa Karume Kenge lazima utampata mfalme J.U.H.A
 
Nasubiri update kwa hamu sana!!!
 
Wewe umekopi avatar yangu halafu unaleta mapuuza hapa?
Jaman nyie nini tena mnagombania avatar sahizi, nchi inatetemeka sasahiv, tuendelee kujadili kwanza yanayoendelea mtagombana baadae jaman niko chini ya miguu yenu
 
MPENZI WA MUNGU NI HATARI NAMFANANISHA NA PHYTHON HATARI SANA
 
Mkuu usisahau kutupa update mubashara. Huenda leo Mh Nnauye akaamua kumwaga mboga ili tukose wote. Viva comrade Nape Nnauye tupo pamoja katika mapambano haya ya kupinga UDIKTETA nchini Tanzania.
 
Unasubiri hapo hapo? Utakunywa soda na maji hadi ukome!!! Mwenzako wamesaondoka nae hawataki aibu!!!! Kazi ipo
 
kuna habari kuwa ametekwa.. kuna ukweli wowote!
 
Wamemwaga ugali Nape akamwaga mboga......Nape toboa sufuria sasa.
Magufuli anaweza kumfukuza chama kama hataangalia.

Kwa sasa alitakiwa atulie kwanza na kutafakari. Hii awamu haihitaji independent thinkers bali ni mwendo wa kufanya kazi kwa kufuata maelekezo. Alichokosea Nape ni yeye kuact bila kuomba maelekezo au baraka kutoka juu.
 
Why god it so much trouble in this country,what we have done to you,every day there are new scandals but no solution to peoples life,why god why god,PEOPLE FEARS TO QUESTIONS ISSUES,why us!!!!!!! why us!!!!!!!!,GOD you think we enjoy this life!!!!!!! ooooohhhh!!!! so much trouble
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…