Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Watu wanajua nape ametumbuliwa ila alimuandikia sizonje barua ya kujiuzuru yeye akamuwahi ili ionekane hivyo...

Pia ni amri kutoka kwa himself called malaika!!
 
Wapi kaandika "mpaka mwisho wa mkutano" Mh M'bunge........au kizunguzungu kinakutafuna?
Cha kusikitisha Umeme umekatwa Dar mpaka baada ya press conference ya Nape[\b]


Kwa hiyo Nape siyo Mh. Mbunge?


Ukiwa mnafiki jiandae kwa aibu
 
.Anaandika aliyekuwa Waziri wa Habari na Utamaduni na michezo Nape Mnauye
Wanasambaza nimekamatwa! Niko njiani nakwenda Protea, niko salama nimetoka Arusha na ndege mchana huu! Nashauri waache UONGO, WATULIE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…