Mtengwa II
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 955
- 1,582
Hili game tough! Hii ni wiki ya nenda kwa usalama!!
Wakora tata wakoraamesema vijana wasiwe waogam alikuwepo nyerere ameondoka, kawawa, nnauye wameondoka cha muhimu ni tanzania iwe salama. watulie kulinda amani ya tanzania
Aisee wewe cocochanel kumbe ni mpuuzi wa hali ya juu aiseee, dah.... kama maneno ya namna hii si kazi yako basi lazima utakuwa mtu ambaye hajasoma kabisa.Nape gemu lake lilishanaswa
Akajisahau zaidi aliposifiwa Mtwara na Mh. Rais
Kumbe anaangaliwa, hivyo akajiona hawezwi kumbe mmmmh
Jumatatu akatoka pangoni mwenyewe, kuchagua wahariri kwa tume mmmmh, na wanamwandika Mh. Makonda ovyoooo mmmmh, ripoti ilijaa uongo eti aliwakimbia ha ha haaaa kumbe hata hawakumtafuta ni mengi. Kubwa aliamua kumuhukumu Mh. Makonda Jumatatu, tume aliichagua Jumapili
Tabu gemu hamfanyi kwa akili, kama mnavyomsingizia Makonda kila kitu
Ha ha haaaa
JPM kiboko, tutamzoea tuchape kazi tuache udaku
JPM oyeeeee
Makonda oyeeeee
Ww ndiio bure kabisa huko kwenu viporo ndio jadi yenu !acha kukurupuka ww juzikati magufuli kasema yeye ndio alizuia bunge live unaishi WAP ww pimbi?acha uvivu fuatilia habarKwa nini asingepigwa risasi tu akalalie mbele huko
ila arudishe bunge live kwanza
Karma. Karma. Karma.alimcheka LOwassa leo hii yamemrudia,what goes around comes back around....
Kawashukuru wanahabari kwa kufanya naye Kazi kwa mwaka mmoja...kamshukuru rais kwa kumwamini na kamshukuru kwa kumtumbua pia. Kasema hakuomba uwaziri rais ndo aliamua kumteua na kama ameamua kumtumbua yeye ndo Mwenye mamlaka hayo.
Kasema atasimamia ukweli daima...kasema uzalendo wake kwa nchi sio wa kutilia shaka. Kasema anarudi kuwatumikia wana mtama kama mbunge.
Kasema alilala Porini miezi kumi na nane akikipigani chama ambacho kilikuwa kinaenda kuzikwa na kumuweka mtu ambaye ndo ametuma watu na bastola.
Kawaomba wanahabari na vijana wa nchi hii wapiganie haki zao na kusimamia ukweli.
Ila Jamaa anajihamini katoka ndani ya gari akasema huyo mpumbavu aliyotoa bastola yuko Wapi??