Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Kwamaelezo haya nape asee kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya ccm na taifa kwa ujumla!
Hasa ukifuatilia maoni ya watu mitandaoni
 
Aisee wewe cocochanel kumbe ni mpuuzi wa hali ya juu aiseee, dah.... kama maneno ya namna hii si kazi yako basi lazima utakuwa mtu ambaye hajasoma kabisa.

Unasikitisha cocochanel
 
Pole mh Nape. Ulishiriki kuminya uhuru wa habari ukifikiri unawabinya wapinzani tu. Sasa unakurudi, anyway karibu kunako haki.
 
TUFUNGE, KUSALI NA KUOMBA, Kila mtu kadiri ya IMANI yake
 
Nape leo kanifurahisha....kaamua kuonesha kabisa na mkono uliotumika kupiga goli la mkono.......Kweli mshahara wa dhambi ni hapahapa duniani
 
Ruyagwa alisema hivi hivi, yeye alikiinua Chadema ;lakini sasa ni mkuu wa ACT. NAPE yaani ndiye uliyeiinua CCM.?
 
Mh. Nape pamoja na yote yaliyojili juu yako, wewe ni Mshindi tu . Nakufananisha na Daudi (siyo Bashite) alivyomshinda Goliath!!!!
 
Somo

Ukitaka kujua hasira za mwanaume(Magufuli) , mchokoze bi mdogo (Bashite).

Bora apoteze marafiki wote lakini bi Mdogo nafasi yake ibaki pale pale.
 

Hapo (bold) nahisi atafanya maamuzi Fulani hivi!!!! hebu tuone. Ahsante nkwarisambu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…