Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Somo

Ukitaka kujua hasira za mwanaume(Magufuli) , mchokoze bi mdogo (Bashite).

Bora apoteze marafiki wote lakini bi Mdogo nafasi yake ibaki pale pale.
 
kasema hana shida na mtu, tuwe na amani, muda wake wa kukaa kwenye hiyo nafasi aliyopewa umeisha, na ni mpango wa Mungu atoke hapo, ila tuwe na uvumilivu, tutafika tupatakapo salama

alikuwa anatokea Arusha so u can guess what is going on
MAPINDUZI DAIMA!NALO NENO!!;[emoji121]
 
Sasa ni dhahiri cheche alizoziona Kikwete zimeingia hadi chumbani kwake mwenyewe Kikwete, jana gazeti moja liliandika jinsi ambavyo familia ya Kikwete ilivyotikiswa na checheeee! Kumbuka kale sauti ka JK "ameanza kutema checheee"

Nape aliyekuwa msitari wa mbele kumbomoa Lowasa na kumnadi JPM nchi nzima na hata kuhatarisha maisha yake, nakumbuka ajali mbaya aliyopata akitokea Dar kwenda Lindi, sasa Nape amechomwa na checheeeee!

Checheeee! naona jinsi ambavyo ni raha kuwa mpinzani kwenye awamu hiii, maana checheeee haziwezi kuvuka huku kwetu, wanaunguzana wenyewe tuu.

Checheeee!
 
Mnafiki wewe
 
Nape ana laana ya kudharau wakubwa. zake alikuwa anamuita Dr. Slaa babu na majina mengine ya kejeli ccm aliikuta na ataiacha aache kujigamba kuwa aliikuta ccm hoi ccm. Ilikuwa inasumbuliwa na makundi
 
 
Mkuu naomba ututake radhi,, siyo kawaida yetu ila ni huyu tu mgonjwa wa akili ndo ametuharibia! Nchi nzima hii hakuna kabila linaloheshimu watu kama Wasukuma. Yaani sisi tunazidi kipimo cha kuheshimu watu, sijui huyu wa wapi!!
Mnapenda kujipendekeza na kuuza utu wenu kuwafurahisha watu fulani ambao hata hawana muda na ninyi zaidi ya kuwageuza watumwa
 
Scratch my back n I smash your face.... Kaka Nape unalikumbuka goli LA mkono??? Unalikumbuka bunge mubashara???? U scratched em back ... Sisi tunakumbuka kutangazwa wauza madawa na uvamizi wa mawingu na kile ulichokifanya kama waziri.... Zuri ili limefunika mabaya Yale.... Wengine tujifunze... Natamani nipate falsafa nzuri ya Maisha ya nape na sisiem.... Kwa ndg Vipi unaweza organize a good philosophy for bros??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…