Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Nilishikwa na Hasira ya Ajabu iliyonifanya Kutetemeka Pale Nilipoona Mh. Nape Mnauye shujaa wa Demokrasia...
Naona umebadilisha gia angani kukidhi maslahi binafsi....Nape Ni mnafiki, mwongo, mzushi na asiye na staha (civility) wala adabu (No respect)...
Najua na ninauhakika na nachosema. Na huyu Ndiye aliyemtuma Makonda Clouds! Nimeona Maono! Mwaka huu ukiisha Kama Magufuli Bado ni Rais Nitatembea Uchi Kutoka Ubungo Mpaka Kariakoo!Acha upashkuna, kila kitu rais rais
Na 2020 mtaisikia dola kwenye bomba
Mpaka siku mbowe akipewa kazi ya kuteua Mwenyekiti na wajumbe wa NEC pamoja na kuajiri wafanyakazi wa NEC na kubwa kuliko wote siku Jeshi la polisi litakapokuwa mali ya CDM ndipo CCM KITAKUWA CHAMA CHA UPINZANI
Kama Una tafuta ukuu wa wilaya, mtafute Bashite akupe mbinu rahisi. [HASHTAG]#usinipangie2020[/HASHTAG]Acha upashkuna, kila kitu rais rais
Na 2020 mtaisikia dola kwenye bomba
Mpaka siku mbowe akipewa kazi ya kuteua Mwenyekiti na wajumbe wa NEC pamoja na kuajiri wafanyakazi wa NEC na kubwa kuliko wote siku Jeshi la polisi litakapokuwa mali ya CDM ndipo CCM KITAKUWA CHAMA CHA UPINZANI
Mimi nimependa na nina msifu alivyo tumia roof ya gari yake nakuongea ujumbe mzito kwa muda mfupi vyote kutoka kichwani, utadhani aliandaa hutoba ya dharula kama likitokea hili nitaongea hili.Nakuhitimisha maongezi yake kwa busara kubwa sana. Kweli amekomaa kisiasa kuliko aliye kuwa boss wake akiwa waziri.Nilishikwa na Hasira ya Ajabu iliyonifanya Kutetemeka Pale Nilipoona Mh. Nape Mnauye shujaa wa Demokrasia alivyotishiwa kwa Mtutu wa Bunduki na Mjinga aliyetumwa na Magufuli. Mtu huyu hata hakujitambulisha na hakueleza sababu na Uhalali wa Kumlazimisha Nape Kuingia Kwenye Gari. Iwapo Nape angewahi na Yeye Kutoa Silaha yake na Kumwasha huyu Mbweha Nani angemlaumu kwani Ingekuwa self Defense, When a stranger pull a gun on you, it will be justified as a self defense act if you get yours fast enough and kill him!
Magufuli sasa ameshaonyesha Beyond any reasonable doubts kwamba ni Kichaa na Ataitumbukiza Tanzania Kwenye Machafuko Makubwa. ATHIBITIWE AS SOON AS POSSIBLE
Sidhan kama wametumwa na magufuli ndugu kwan kule clods bwana yule alitumwa au alienda mwenyewe je ukute ndie aliewatuma sio kila kitu in rais kafanyaNilishikwa na Hasira ya Ajabu iliyonifanya Kutetemeka Pale Nilipoona Mh. Nape Mnauye shujaa wa Demokrasia alivyotishiwa kwa Mtutu wa Bunduki na Mjinga aliyetumwa na Magufuli. Mtu huyu hata hakujitambulisha na hakueleza sababu na Uhalali wa Kumlazimisha Nape Kuingia Kwenye Gari. Iwapo Nape angewahi na Yeye Kutoa Silaha yake na Kumwasha huyu Mbweha Nani angemlaumu kwani Ingekuwa self Defense, When a stranger pull a gun on you, it will be justified as a self defense act if you get yours fast enough and kill him!
Magufuli sasa ameshaonyesha Beyond any reasonable doubts kwamba ni Kichaa na Ataitumbukiza Tanzania Kwenye Machafuko Makubwa. ATHIBITIWE AS SOON AS POSSIBLE
Sasa kama kiongozi wa nchii tena wazir anatokea mtu hanamtishia na silaha hajaonyesha kitambulishoo sasa kwa sisi wananchi wa kawaida itakuwajeNilishikwa na Hasira ya Ajabu iliyonifanya Kutetemeka Pale Nilipoona Mh. Nape Mnauye shujaa wa Demokrasia alivyotishiwa kwa Mtutu wa Bunduki na Mjinga aliyetumwa na Magufuli. Mtu huyu hata hakujitambulisha na hakueleza sababu na Uhalali wa Kumlazimisha Nape Kuingia Kwenye Gari. Iwapo Nape angewahi na Yeye Kutoa Silaha yake na Kumwasha huyu Mbweha Nani angemlaumu kwani Ingekuwa self Defense, When a stranger pull a gun on you, it will be justified as a self defense act if you get yours fast enough and kill him!
Magufuli sasa ameshaonyesha Beyond any reasonable doubts kwamba ni Kichaa na Ataitumbukiza Tanzania Kwenye Machafuko Makubwa. ATHIBITIWE AS SOON AS POSSIBLE
Je ni kweli?Nilishikwa na Hasira ya Ajabu iliyonifanya Kutetemeka Pale Nilipoona Mh. Nape Mnauye shujaa wa Demokrasia alivyotishiwa kwa Mtutu wa Bunduki na Mjinga aliyetumwa na Magufuli. Mtu huyu hata hakujitambulisha na hakueleza sababu na Uhalali wa Kumlazimisha Nape Kuingia Kwenye Gari. Iwapo Nape angewahi na Yeye Kutoa Silaha yake na Kumwasha huyu Mbweha Nani angemlaumu kwani Ingekuwa self Defense, When a stranger pull a gun on you, it will be justified as a self defense act if you get yours fast enough and kill him!
Magufuli sasa ameshaonyesha Beyond any reasonable doubts kwamba ni Kichaa na Ataitumbukiza Tanzania Kwenye Machafuko Makubwa. ATHIBITIWE AS SOON AS POSSIBLE
Tabu ni kwamba anayaona haya wakati kumekucha pale alipozuiwa kufanya press kipengele cha media na cyber bills alizopitisha zimeidhinisha nguvu kutumika kwa maslahi ya Taifa. Asiwe na akili za kuku...NAPE AWACHANA POLISI
"Nimepigana kuirudisha CCM madarakani. Nimelala porini siku 28 angalieni mkono wangu. Halafu leo anakuja mpuuzi mmoja (polisi) ananishikia bastola eti rudi kwenye gari. Nyie polisi tunapigana kwa ajili yenu na vizazi vyenu. Mnalipwa kwa kodi zetu, kwa pesa za wavuja jasho. Pumbavu kabisa."
Nape Nnauye, 23/03/2017.
Hayo yameandikwa katika ukurasa wa Facebook wa TBC
HahahahaNaona umebadilisha gia angani kukidhi maslahi binafsi.
Nisaidie nielewe maelezo yako!Acha upashkuna, kila kitu rais rais
Na 2020 mtaisikia dola kwenye bomba
Mpaka siku mbowe akipewa kazi ya kuteua Mwenyekiti na wajumbe wa NEC pamoja na kuajiri wafanyakazi wa NEC na kubwa kuliko wote siku Jeshi la polisi litakapokuwa mali ya CDM ndipo CCM KITAKUWA CHAMA CHA UPINZANI
Hahahaha nincompoop!Nincompoop you. Usimchonganishe NAPE na SERIKALI. Weka contents nzima ya speech yake. Mnachukua snippets na kumlisha maneno.
Usipanic,hayo maneno yamemtoka kama yalivyo!Labda kama unashangaa kwa kutoaminiNincompoop you. Usimchonganishe NAPE na SERIKALI. Weka contents nzima ya speech yake. Mnachukua snippets na kumlisha maneno.
Kuwa Ni Magufuli Kawatuma Wajinga wale Nasema Mimi, Kwanini nijifiche Mgongoni Mwa Nape? Hayo Nasema Mimi TL. marandu wala sifichi jina, waje na Hizo Gun kwangu mimi, Pumbavu tena Pumbavu sana, Nchi hii ilipiganiwa Kwa damu za babu zetu aje Mjinga mmoja Tumpe kazi halafu aketishe Matako yake Kichwani kwetu na Kutujibu kunya siku hadi siku! The hell this is too much!Usipanic,hayo maneno yamemtoka kama yalivyo!Labda kama unashangaa kwa kutoamini