Usipochangia sijui unawashwa Nape si mwana CCM mwenzenu huyo mnamgeuka tena[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hii kweli pepo ya mabwegeWanayofanya tu mtu ukiangalia ni unaona maigizo.
Millard Ayo ndiyo kitu gani mkuuNimepitia clip zote za sakata la Nape kushambuliwa na kitu kama bastola na kuvunjika kwa mkutano wake.
Nimeshangazwa na uwezo mkubwa wa camera za Millard Ayo kunasa sauti ya nape na kusikika sawia kabisa kama alifanya shooting na studio za Godfarther za sauz. Nashindwa kuelewa kuwa hotuba ya Nape ilirekodiwa studio siku moja kabla ya tukio. Hivyo pale Protea Hotel Nape alikuwa anafanya shooting tu.
Haiwezekani mtu ambaye alikuwa akiongea yuko juu ya gari tena bila kipaza sauti sauti yake ikanaswa na kusikika mubashara na camera nadhani hapa kuna kausanii fulani.
Usipochangia sijui unawashwa Nape si mwana CCM mwenzenu huyo mnamgeuka tena[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hii kweli pepo ya mabwege
Wewe acha usanii kwenye jumba la sanaa maana wote ni wasanii watakuona kichekesho, kwanza umefuata nini huku, kacheze unakochezagaCocochanel, kweli ni maigizo nimestuka, tizama movie nzima inafanana na tangazo la vodacom la Mpoki wazekomedy, pili hamorapa ameigiza kama yule binti wa filamu ya uncle JJ ya kanumba. Yaani full usanii, nape mwakahuu tutakupatia medali ya mwigizaji bora.
ilirekodiwa siku moja kivipi wakati umeona nape akiongea juu ya gari huku ishara za mdomo na mikono na body language kwa ujumla viki-reflect wazi kabisa kile anachokiongea? sijui mwenzangu macho na masikio yako vilikua vikisikia na kuona kitu ganiNimepitia clip zote za sakata la Nape kushambuliwa na kitu kama bastola na kuvunjika kwa mkutano wake.
Nimeshangazwa na uwezo mkubwa wa camera za Millard Ayo kunasa sauti ya nape na kusikika sawia kabisa kama alifanya shooting na studio za Godfarther za sauz. Nashindwa kuelewa kuwa hotuba ya Nape ilirekodiwa studio siku moja kabla ya tukio. Hivyo pale Protea Hotel Nape alikuwa anafanya shooting tu.
Haiwezekani mtu ambaye alikuwa akiongea yuko juu ya gari tena bila kipaza sauti sauti yake ikanaswa na kusikika mubashara na camera nadhani hapa kuna kausanii fulani.
mkuu unatiming nzuri yaani kila post lazima utokee, tena unakuwa wa kwanza kwanza. sasa kwa nini usifungue tuakaunti twingi twingi ili kuo geza wingi wa supports wa bwana mkubwa?Wanayofanya tu mtu ukiangalia ni unaona maigizo.
Hiyo ya sauti sijui kipaza sauti na mimi pia nilinoti.
Tatizo lako kila habari ya Bashite unatetea kila post kwa wenye akili tunawaza yawezekana mmoja wao kama sio ikulu anakutafua sio bure. Usikasirike kutafuna ama kutafunwa ni mambo ya kawaida yapo katika real life cycleNani alikuambia mimi nipo kwa chama chochote nchini hapa!?
Najiuliza kwa nini yule mwenye bastola ulionyeshwa kisogoni.. hasi RPC Kinondoni anasema hamjui
Kimsingi yule ni kijana wake.. hata yeye alikuwepo eneo la tukio. Najiuliza kwa nini kamera hazikumuonesha usoni mshika bastolaKama hamjui kwa nini hakumkamata? Na yule aliyekuwa na Nape mbona alitaka ku-react lakini akapoa, kwa nini alipoa?