KIPI HICHO JABULANI?Too late , alimfunika mwigizaji wenu jana. Nape aliongea kitu wanachotaka kusikia watu.
Kwahiyo kila anayekemea uovu wa Makonda ni mtu mchafu!Bro NAPE kokote ulipo Nathubutu kabsa kusema ya KUWA sisi WAFUASI NA WANACHAMA wa CCM...kamwe hatujarurahishwa na kuondolewa kwa WEWE kwenye UWAZIRI maana to be honest kwa kipindi hicho kifupi ulichokuwa hapo WIZARANI umeitendea haki nafasi yako na ninaamini hata RAIS MAGUFULI HILI KAMWE hawezi pinga....na pia HATA RAIS MAGUFULI kamwe hawezi pinga moja ya WATU WATANO waliofanikisha ushindi wake 2015 wewe ni mmoja wao ya hao watano.
Sasa tuje kwenye suala la kwanini RAIS MAGUFULI amekuondoa kwenye UWAZIRI...kwa hisia zangu naaamini kabsa haujawai pishana kauli wala kutofautiana na RAIS MAGUFULI ila inawezekana HILI SUALA LA MAKONDA NDIO LIMEKUONDOA....sasa limekuondoaje.
Ni hivi...bila kupepesa macho ni kweli kabsa MAKONDA anastahili kuwajibishwa kutokana na hayo makando kando anayotuhumiwa ila tatzo kubwa linalompa RAIS ugumu wa kuchukua MAAMUZI juu ya MAKONDA ni AINA YA WATU WANAOSUKA HUU MPANGO WA KUMTOA MAKONDA si watu sahihi kabsa kwa mustakabali wa nchi yetu na hapa ndipo ambapo naamini kabsa KUPITIA INTELENJIA YA IKULU imekukuta KAKA NAPE UKITUMIKA NA HAO WABAYA WA MAKONDA KUTAKA KUMWAJIBISHA MAKONDA(na ambao si watu wasafi kabsa au watu wema kwenye nchi yetu na napo sema si watu safi nadhani naeleweka vizuri kwenye hili)....NA HII NDIO SABABU KUBWA INAYO MFANYA RAIS MAGUFULI ASHINDWE CHUKUA MAAMUZI JUU YA MAKONDA maana iwapo tu akimwajibisha MAKONDA huu utakuwa ni ushindi mkubwa sana kwa hao WACHAFU.
hivyo naamini kabsa either RAIS mwenyewe alikuonya au alitumia baadhi ya watu wakuonye ya kuwa usiwe mstari wa mbele kutaka kumwajibisha MAKONDA maana si watu wema wanaolishupalia hili either kupitia MITANDAO..MAGAZETI na REDIO PIA...sasa ndio maana RAIS alivyoona UNAENDELEA NA HII TUME ULIYOUNDA(Na ambayo kwa kiasi kikubwa tume yenyewe ilikuwa si tume ya kumtendea HAKI MAKONDA) NA HATA KUTANGAZA HIYO RIPOTI naamini he was very dissapointed with you NA HATA KUPELEKEA YEYE KUCHUKUA HAYA MAAMUZI....na ndio maana narudia kusema RAIS MAGUFULI hawezi akawa ni MTU asiyeweza au kushindwa kutambua mchango wako kwa CCM...hapa nakataa kabsa.
Nije kwenye hili suala la WEWE kuanza kulishwa maneno kupitia MITANDAONI.
Bro nakuhakikishia kabsa kwa karibu asilimia 90 hakuna MWANA CCM mwenye mapenzi mema na CHAMA CHETU hakathubutu kukubali KUTUMIWA KUKUCHAFUA wewe....WE DO RESPECT YOU A LOT.
Hili la kukuchafua wewe kwa karibu asilimia 100 lipo well enginered na hawa WENZETU wa upande wa PILI kwa minaajili ya KUKUPANIKISHA WEWE NA KUFIKIA MPAKA kuchukua maamuzi MAGUMU JUU YA CCM na kuwafaidisha wao maana wewe ni ASSET zaidi hata ya LOWASSA maana bado ni kijana unaeonekana utakuja kuwa KIONGOZI BORA SANA SIKU ZIJAZO maana nyota njema uonekana ASUBUHI.
SASA ushauri wangu kwako ni huu hapa......u just keep quit WATUMIKIE WANACHI WAKO IPASAVYO na wapiganie WANACHI WOTE WATANZANIA pindi utakapo kuwa BUNGENI na achana kabsa na MIHEMKO usifate MIHEMKO KAMA YA BASHE.....Be like kina KANGI LUGOLA wa enzi hizo au ANNE KILANGO MALECHELA wa enzi hizo au KIGWANGALLA wa kipindi hiko.
Na KINGNE CHA MWISHO usithubutu kuhama CCM we do still need you kwa mustakabali wa CCM ya kesho NA FEATURE YAKO KISIASA wewe ni hazina bora kabsa ndani ya CCM.
La mwisho even IF MAKONDA NDIO SOURCE ya wewe KUWA DROPED OUT kwenye UWAZIRI...kaka yangu NAPE nakuomba sana MSAMEHE. MAKONDA ni mdogo wako kisiasa UKITANA NAE we CHEKA NAE. Hapo ndipo utakapojipatia USHINDI kwa mustakabali wa kesho yako KISIASA.
Tunawasubiri mkimaliza miaka yenu jero mje na mrejesho mmekamata wangapi na wangapi wapo jela. Na hilo neno ulilomalizia mwishoni nalirejesha kwako kama lilivyo.Mbwa ni wewe usiyeelewa nini usalama wa taifa. Usicheze na serikali iliyopo madarakani. Magufuli hoyeeee! Wauza ngada walimtukana sana kikwete. Wembe ndo huu kum am amaye!
Tehteh haaya bhana asante pia kwakuniona lofa yaani unafikiri naandika bila kujua au naotaaIzi ni mali za wazungu wenyewe ambazo zipo kwenye mataifa mbalimbali duniani mfano hapa Tz wanazo hapo jirani na St Peters,Pangani Tanga,Machame walikodi ile hotel ya Mbowe ilokuwa inaitwa Aishi hotel.
JAMAA UNATAFUTA SHIDA,UNAJUA KUWA SHERIA YA MITANDAO INAFANYA KAZI!!!!
ENDELEA NA UNACHOKIFANYA UTAMJUA TU ALIYEIAJIRI!Hee...Nani kaiajiri?
Katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.
Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.
kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Sijasusa bhanaa pilika tuhahahhh nitakuhadithia hivi upo naona umetususa hutaki kuongea na sisi nitakuhadithia kwenye uzi wetu tukionana