Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Kikwete :wauza madawa wana nguvu wamo wanasiasa pia maaskofu nikiwataja nchi hii inatikisika
Magufuli :vita hii hakuna kuangalia brand wala Jina wala Sura
Nape :Jamani ZOEZI hili litaua brand za watu
Magufuli :hata akiwa mke wangu akamatwe tu
Makonda :tumeamua kuanza hii vita ni kama kumwagia mafuta kwenye shimo kila nyoka atatoa kichwa
Makonda :na mimi ukitoa shimo nakugonga tu kichwa
Magufuli :makonda wewe chapa kazi
Nape :kazi hii ina gharama
Magufuli :MIMI NDIO RAIS LIA GARAGARA MIMI NDIO RAISI
NDEGE JOHN :UNGANISHA DOTS, ISHU SIO UHURU WA HABARI ISHU NI WAUZA NGADA KUBANWA VILIVYO
TANESCO :TUNAWAPA SIKU TANO MLIPE MADENI SUGU
WA PENDA UDAKU MATAPELI WAONGO :TWAFAAAA
WAZALENDO :HAPA KAZI TU
Mbona kashindwa kumuwajibisha Bashite?
 

Kama amekimbia kivuli chake aliposema mwanzo maamuzi ya rais yapo ndani ya mamlaka yake,,,kwa hyo rais alipaswa kumtoa nape muda upi sahihi?? Je ni kwa sababu kamati iliundwa ilihali maamuz ya rais yameshapita au?
 
Namshauri nape ajiuzuru ubunge na ajiondoe ccm...wakimwanga mbonga unamwaga ugali
Wazo zuri sana maana akihamia chama chochote na kugombea ubunge kupitia huko atashinda tu
 
Duuhh balaa shujaa nape ongea tu
Nilistuka kutenguliwa kwake lakini kitendo chake cha kuitisha 'press conference', kuelezea kutenguliwa, si kitendo cha busara kwa kiongozi ngazi ya Waziri.

Rais alikuwa amechelewa kumtumbua.
 
Nape mdogo wangu, kuikuta CCM inachungulia shimoni haikupi leseni ya kukiuka taratibu za utumishi au kiutawala.

Ulitakiwa ureport kwa Mamlaka yake ya uteuzi na uwaachie. Ulilofanya ni kudhalilisha Rais, Makamu wake pia Waziri mkuu. Ulikuwa na lengo zuri sana ila hukuwa na weledi wa kudeal nalo. RC ulimchukulia kama Paul Makonda na si Mkuu wa Mkoa. Ulikosea Mkuu wangu. Pumzika ufikirie upya.

Ila kauli za CCM ulikuta inachungulia shimoni ukainyanyua naona ndizo zilizokusukuma hata ukafanya uliyoyafanya. Si kweli kama ulinyanyua CCM mdogo wangu bali kuna mchango wako.

Wewe wakati huo hukuaminika mpaka na hawa wanaokupaka uji kwenye lips sasa. Mzee Kinana ndiye mwenye haki ya kunena hayo na si wewe.

Pole dogo. Lakini pia, ulikuwa na motive ya kumuondoa RC ambe pia hakuwa chini yako wewe. Ni kama mtu na mdogo wake. Hukuwahi kuhisi haya maumivu uliyonayo angeyapata kwa move uliyokuwa nayo? Nafahamu unaumia sana. Haya ni maisha tuu. Maisha ni mchakato na kujifunza pia.

Naamini hutorudia kufanya makosa makubwa kama haya eti kwa kuwa tu ulipigania chama. You are wrong mdogo wangu.

Cha mwisho, usichopenda kufanyiwa usimfanyie mtu mwingine Nape. Kazi njema.
umesahau kauli ya goli la mkono ndio iliharibu safari yetu ya matumaini
 
Somo kwa wanasiasa- tunga sheria na katiba iliyo na maslahi mapana kwa taifa siyo sheria au katiba ambayo siku za usoni inakubana hadi kupelekea kufanya press conference BARABARANI.A lesson has been learned.

Kabisaaa! Hawakuona kwamba inaweza kula kwa. Short sightedness. Hili somo sasa limewangia. Katiba mpya muhimu
 
kuna kitu kikubwa kimejificha kwenye suala la mawingu kuvamiwa,
1. muhusika kukataa kuzungumzia hata baada ya kufuatwa.licha ya kuwa ni mpenda publicity

2.kusifiwa na mkuu kwa utendaji mzur licha ya kuwa tukio limetokea siku kadhaa kabla.(bila shaka mkuu wake lazime alishapata taarifa zote kuhusu hilo)

3.waziri kuunda tume na kushughulikia licha ya sifa toka juu.

4.baada tu ya public report kutoka waziri anaenguliwa.
 
Apeleke kiburi chake Mtama sasa. Tulishamchoka. Alikuwa ethics za kazi yake. Anajua kuropoka mitandaoni tu na kwenye vyombo vya habari.
 
Drama inaendelea!
Ahsanmte sana Nape kwa kusema ukweli!
Mimi najaribu kupitia pitia historia kidogo kuhusu hatma ya tawala zinazopambana na watu!
Mwenye uelewa zaidi naomba tufahamishane
 
ASKARI MNATUMIKA VIBAYA....NYIE MNAOJIITA USALAMA WA TAIFA....hovyo kbsaa.....mtabaki na vi mshahara mbuzi hivi hivi ma.....kbsa nyie...mxiuuuuu...nchi huru hii....mbona huyo bashite mna muogopa ...
Usalama usalama...mnalinda nini....
Hivi ndivyo walivompa shukurani Nape
 

Attachments

Nape,kijana mwenzangu,nimekusamehe kwa yote uliyoyafanya siku za nyuma.
Hata nikiendelea kukuwekea kinyongo haitonisaidia,kwa sababu hivi sasa vijana tunahitaji umoja ili kuilinda na kuiokoa nchi yetu.
Hotuba yako inaonyesha umerealise kitu ambacho wenzio tunakijua siku nyingi tu,tangu siku ile mlipofanya kosa kubwa pale Dodoma mkiongozwa na akina mzee Nkapa.
Sasa karibu kwenye imani hii,tuungane tuone tunafanyaje.
Inashtua moyo na kushangaza kuona CCM ni mhanga namba moja wa maamuzi yake yenyewe,na makada mliokuwa mstari wa mbele ndio wahanga namba moja wa kile mlichokipigania hadi kikasimama.
Lakini nafasi bado ipo,jambo moja wasilolijua hawa mabwana wachache wenye uchu,ni kuwa maamuzi yao ya sasa yanawatengenezea maadui wengi ambao kila uchao wanaongezeka,so you can predict the future Nape,don't worry,stay tuned
 
Nape mdogo wangu, kuikuta CCM inachungulia shimoni haikupi leseni ya kukiuka taratibu za utumishi au kiutawala.

Ulitakiwa ureport kwa Mamlaka yake ya uteuzi na uwaachie. Ulilofanya ni kudhalilisha Rais, Makamu wake pia Waziri mkuu. Ulikuwa na lengo zuri sana ila hukuwa na weledi wa kudeal nalo. RC ulimchukulia kama Paul Makonda na si Mkuu wa Mkoa. Ulikosea Mkuu wangu. Pumzika ufikirie upya.

Ila kauli za CCM ulikuta inachungulia shimoni ukainyanyua naona ndizo zilizokusukuma hata ukafanya uliyoyafanya. Si kweli kama ulinyanyua CCM mdogo wangu bali kuna mchango wako.

Wewe wakati huo hukuaminika mpaka na hawa wanaokupaka uji kwenye lips sasa. Mzee Kinana ndiye mwenye haki ya kunena hayo na si wewe.

Pole dogo. Lakini pia, ulikuwa na motive ya kumuondoa RC ambe pia hakuwa chini yako wewe. Ni kama mtu na mdogo wake. Hukuwahi kuhisi haya maumivu uliyonayo angeyapata kwa move uliyokuwa nayo? Nafahamu unaumia sana. Haya ni maisha tuu. Maisha ni mchakato na kujifunza pia.

Naamini hutorudia kufanya makosa makubwa kama haya eti kwa kuwa tu ulipigania chama. You are wrong mdogo wangu.

Cha mwisho, usichopenda kufanyiwa usimfanyie mtu mwingine Nape. Kazi njema.
Mkuu umeongea kwa busara sana.
 
Back
Top Bottom