Jobless kivip c bado mbunge wa MtamaNape, welcome to jobless corner..
Kwa ufahamisho huyu ndo CCM no. one nyie wengine wasafisha vyoo na kufuta vumbi madirisha. We know the boy, we raised him. Wewe unayeongea yawezekana hata kadi huna na kama unayo una ya jana tu wakati Nape alikuwa kati ya watoto wa CCM akiwa na miaka 6 pale Dodoma. Nape usijilinganishe naye. Nape aliweza kusimama na kuongea kuhusu kuuzwa jengo la vijana DSM bila woga mpaka wakataka kumfukuza chama. Si walijikosoa wenyewe? Tunaomtetea Nape tutaitwa chadema na chadema ni chama kilichojengwa na watu waliotoka CCM baada ya vyama kuanza. Mzee Mtei alikuwa nani nchi hii na wengine waliotangulia mbele za haki akina mzee Magani? Hivi wewe unaweza jilinganisha na hao watu una ubavu? Wakati wa Mtei nchi hii uchumi wake ulikuwaje?hahahhaa chadema hawaishi vituko eti leo nape ni shujaa hahhahahha bora kaenda msaliti huyu......
Thank to God that we actually don't have trouble in the real sense. this is just political jungle we are passing through which is meant to strengthen ourselves. Other countries have no food, water, only wars and much suffering. we enjoy our peace thanks to God
Mkuu kwanini alishindwa kusimamia BUNGE KUONYESHWA LIVE?Nape kuna kipindi nilikuwa simkubali..ila kwa hili SAGA linalotokea sasa hivi nchini namuelewa..
Napenda sana alivyosema...Nitasimamia ukwelihata kama ametenguliwa
Usipopita kwenye matatizoya kisiasa hutakomaa, Ili mbegu iote shuti ioze, nimepanda mbegu ya kupigania haki hakika itaota, Tanzania ni yetu nchini yetu. Vijana hamna la kuogopa simamieni mnachokiamini Mwalimu, Kawawa waliondoka na sisi tutaondoka. Sisi pia tutaondoka suala la kujiuliza tutaawaachia watoto wetu nchi ya aina gani, hilo ndio kubwa,uamuzi ni wa kwetu wenyewe.
Ndio mumkumbuke Profesa Mark James Mwandosya alipoandika facebook mwaka juzi na watu wakamponda. Alipoteuliwa huyu jamaa mwenye kigoda, aliandika "MTU AMBAYE HAJAWAHI KUSHIKA WADHIFA WOWOTE NDANI YA CHAMA (HATA UBALOZI WA NYUMBA KUMI) NDIO ANAKUWA MWENYEKITI MPYA WA CCM" Nadhani sasa ndio mtaelewa alimaanisha nini!Hii Kauli Imeniumiza Sana Japo Siyo Kada
Lakini Lakini Jamaa Alipambana Sana Kwenye Chama Chake Haya Ngoja Tusubiri Mwisho wa Picha.
Nasikia Tundu Lisu alisema "....akimaliza kwetu atakuja kwenu"Dah nimejisikia vibaya sana kweli hivi huyu ndio nape yule wa kipindi cha Kampeni nape wa kusukumwa na polisi dah Mungu amjalie sana Nape
Hii ilitokea kipindi hajaongea na waandishi wa habariDah nimejisikia vibaya sana kweli hivi huyu ndio nape yule wa kipindi cha Kampeni nape wa kusukumwa na polisi dah Mungu amjalie sana Nape
Hiyo video iko wapi?Dah nimejisikia vibaya sana kweli hivi huyu ndio nape yule wa kipindi cha Kampeni nape wa kusukumwa na polisi dah Mungu amjalie sana Nape