Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Mimi sio mpenzi wa sisiem lakini namshauri Nape atulize munkari, atafakari sana halafu arudi nyuma miaka iliyopita na kuwakumbuka kina Kombe, Kolimba na Kighoma Malima. Naamini familia yake bado inamhitaji sana. Anadai hii ni nchi huru, YES na ya kidemokrasia!!!? Nafikiri itategemea uko upande gani wa wakina Donald Trump wa Bongoland.
 
Ndo ivo bwana nimeiona video nape amedhalilishwa
Inafikia hatua unatolewa bastola hadharani...kisa nini?? Au order kutoka juu
Huyu hata nyerere angekuepo angemuweka ndani tu mana ni dikteta 100%
 
Haya mambo tuliyasikia wakifanyiwa kina Lema na kina Lissu tu

Kweli nimeamini ule usemi wa, leo kwangu kesho kwake
 
Hivi hii ni tanzania au ni nchi nyingine....?
 
Back
Top Bottom