Tumia common sense kufanya judgement! Umeona camera crew ilikaa upande upi?! Au unataka kusema na camera crew yoooooooooooooooooote ilipangwa na Nape ikae upande gani?Kimsingi yule ni kijana wake.. hata yeye alikuwepo eneo la tukio. Najiuliza kwa nini kamera hazikumuonesha usoni mshika bastola
UKiangalia gari ya Nape; upande wa siti ya dereva kulikuwa ndo parking na upande wa Nape ndo upande liliko jengo la Protea na ndio upande ambako walikaa waandishi na camera crews.
Jamaa wa pistol alitokea upande wa kushoto wa camera crew kwa hiyo direction ya kamera ilikuwa ubavuni kwake!!! Na alipomfikia Nape, akam-face na hivyo kuwapa mgongo camera crews!!
Sasa ulitarajia shot zinazochukuliwa kwa nyuma ziweze kuonesha upande wa mbele?!