Nilikuwa nashangaa Sana kuona nape anasema kuipinga serikali hadharani, nikajiuliza huyu ni Nape kweli au Kuna jambo jingine nje ya boksi. Maan nimeshuhudia matukio mengi mengi ya hovyo Nape akitetea kipindi cha jakaya leo hii anajidai kabadilika km sio unafiki nini. tumeshuhudia akitetea makosa makubwa hadharani leo JPM ndio shujaa eti huu ni unafiki ni kampeni za Chini Chini ili serikali ya JPM ionekane inachukiwa Zaidi na Zaidi, Kumbukeni Nape alikuwa team Membe hivyo hapendezwi kabisa kuona Rais watu akiongoza Nchi hii kwa Nia njema.
Issue ya clouds ni kweli makonda alichemka angempigia simu tu Ruge na kumuuliza mbona vijana wako hawarushi issue ya gwajima?. Nafikiri angefahamishwa na Ruge jinsi ilivyo na taratibu zipi zilikuwa zinasubiliwa.
Nape alichochmka naye kwa hili Yeye ni serikali,makonda pia ni serikali kwanin huyu waziri wa diamond asimuhoji kwanza makonda ili ajue Kuna nini Chini ya kapeti Sasa yy Nape alitaka kufurahisha media tena akizidi kwenda mbali akaunda kamati je hiyo kamati ilimuhoji makonda?. Je Nape alimuhoji makonda? au Nape alimpigia simu Boss wake?. km jibu ni no nikisema Nape alikuwa na interest zake tafauti na za issue hii.
Nape kafanya madudu mangapi kazuia bunge live kafungia magazine mangapi. leo Nape awe shujaa no no Big no.
Nape siku zone anatetea serikali siku zote liwe jema au baya anatetea kipindi cha JK vipi leo JPm au Ana hasira za Membe kukosa Urais.