Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Tatizo la nape ameanza mapema kampeni za membe..na ndio tatizo lililokuwa linasumbua mawaziri wa serikali ya jk..sasa alichanganyikiwa zaidi pale ilipobainika muda ni miaka kumi ndio michakato mipya ya mgombea inaanza.
 
Kosa lake: Alifanya kazi ya Raisi bila kutumwa na Raisi. In administrative law is called excess of powers,usurping of powers,Ultra vires. Aliunda kamati kumchunguza mteule wa Raisi bila kutumwa na Raisi. This is absolutely ultra vires. Ilikuwa au ajihuzuru au atumbuliwe. There was no shortcut.
Vipi ikitokea mteule wa Rais akikiuka madaraka aliyopewa na kuhatarisha usalama wa nchi au kumchafua aliyemteua
Je wakuu wake wampe taarifa kwanza aliyemteua au?
 
Nimepitia clip zote za sakata la Nape kushambuliwa na kitu kama bastola na kuvunjika kwa mkutano wake.

Nimeshangazwa na uwezo mkubwa wa camera za Millard Ayo kunasa sauti ya nape na kusikika sawia kabisa kama alifanya shooting na studio za Godfarther za sauz. Nashindwa kuelewa kuwa hotuba ya Nape ilirekodiwa studio siku moja kabla ya tukio. Hivyo pale Protea Hotel Nape alikuwa anafanya shooting tu.

Haiwezekani mtu ambaye alikuwa akiongea yuko juu ya gari tena bila kipaza sauti sauti yake ikanaswa na kusikika mubashara na camera nadhani hapa kuna kausanii fulani.
Hapa Duniani kila kitu kinawezekana kwa techolojia,lisilowezekana ni Daudi kutoa vyeti
 
Hii mizuka ya kuruka rege kwenye blues sijuwi umeitoa wapi .
 
Bro NAPE kokote ulipo Nathubutu kabsa kusema ya KUWA sisi WAFUASI NA WANACHAMA wa CCM...kamwe hatujarurahishwa na kuondolewa kwa WEWE kwenye UWAZIRI maana to be honest kwa kipindi hicho kifupi ulichokuwa hapo WIZARANI umeitendea haki nafasi yako na ninaamini hata RAIS MAGUFULI HILI KAMWE hawezi pinga....na pia HATA RAIS MAGUFULI kamwe hawezi pinga moja ya WATU WATANO waliofanikisha ushindi wake 2015 wewe ni mmoja wao ya hao watano.

Sasa tuje kwenye suala la kwanini RAIS MAGUFULI amekuondoa kwenye UWAZIRI...kwa hisia zangu naaamini kabsa haujawai pishana kauli wala kutofautiana na RAIS MAGUFULI ila inawezekana HILI SUALA LA MAKONDA NDIO LIMEKUONDOA....sasa limekuondoaje.

Ni hivi...bila kupepesa macho ni kweli kabsa MAKONDA anastahili kuwajibishwa kutokana na hayo makando kando anayotuhumiwa ila tatzo kubwa linalompa RAIS ugumu wa kuchukua MAAMUZI juu ya MAKONDA ni AINA YA WATU WANAOSUKA HUU MPANGO WA KUMTOA MAKONDA si watu sahihi kabsa kwa mustakabali wa nchi yetu na hapa ndipo ambapo naamini kabsa KUPITIA INTELENJIA YA IKULU imekukuta KAKA NAPE UKITUMIKA NA HAO WABAYA WA MAKONDA KUTAKA KUMWAJIBISHA MAKONDA(na ambao si watu wasafi kabsa au watu wema kwenye nchi yetu na napo sema si watu safi nadhani naeleweka vizuri kwenye hili)....NA HII NDIO SABABU KUBWA INAYO MFANYA RAIS MAGUFULI ASHINDWE CHUKUA MAAMUZI JUU YA MAKONDA maana iwapo tu akimwajibisha MAKONDA huu utakuwa ni ushindi mkubwa sana kwa hao WACHAFU.
Kingne inawezekana pia kuwa kuna sababu AWAY FROM this Mzee alikuwa anakulia Timing na ameisha kuchunguza akaona HAUPO upande wake ni miongoni mwa wabaya wake mnaotaka ashindwe kutimiza wajibu wake(Mambo ya TEAM fulani) sasa kwa hili ulilo FANYA ukamvuruga kabsa.....

hivyo naamini kabsa either RAIS mwenyewe alikuonya au alitumia baadhi ya watu wakuonye ya kuwa usiwe mstari wa mbele kutaka kumwajibisha MAKONDA maana si watu wema wanaolishupalia hili either kupitia MITANDAO..MAGAZETI na REDIO PIA...sasa ndio maana RAIS alivyoona UNAENDELEA NA HII TUME ULIYOUNDA(Na ambayo kwa kiasi kikubwa tume yenyewe ilikuwa si tume ya kumtendea HAKI MAKONDA) NA HATA KUTANGAZA HIYO RIPOTI naamini he was very dissapointed with you NA HATA KUPELEKEA YEYE KUCHUKUA HAYA MAAMUZI....na ndio maana narudia kusema RAIS MAGUFULI hawezi akawa ni MTU asiyeweza au kushindwa kutambua mchango wako kwa CCM...hapa nakataa kabsa.

Nije kwenye hili suala la WEWE kuanza kulishwa maneno kupitia MITANDAONI.
Bro nakuhakikishia kabsa kwa karibu asilimia 90 hakuna MWANA CCM mwenye mapenzi mema na CHAMA CHETU hakathubutu kukubali KUTUMIWA KUKUCHAFUA wewe....WE DO RESPECT YOU A LOT.

Hili la kukuchafua wewe kwa karibu asilimia 100 lipo well enginered na hawa WENZETU wa upande wa PILI kwa minaajili ya KUKUPANIKISHA WEWE NA KUFIKIA MPAKA kuchukua maamuzi MAGUMU JUU YA CCM na kuwafaidisha wao maana wewe ni ASSET zaidi hata ya LOWASSA maana bado ni kijana unaeonekana utakuja kuwa KIONGOZI BORA SANA SIKU ZIJAZO maana nyota njema uonekana ASUBUHI.

SASA ushauri wangu kwako ni huu hapa......u just keep quit WATUMIKIE WANACHI WAKO IPASAVYO na wapiganie WANACHI WOTE WATANZANIA pindi utakapo kuwa BUNGENI na achana kabsa na MIHEMKO usifate MIHEMKO KAMA YA BASHE.....Be like kina KANGI LUGOLA wa enzi hizo au ANNE KILANGO MALECHELA wa enzi hizo au KIGWANGALLA wa kipindi hiko.

Na KINGNE CHA MWISHO usithubutu kuhama CCM we do still need you kwa mustakabali wa CCM ya kesho NA FEATURE YAKO KISIASA wewe ni hazina bora kabsa ndani ya CCM HAKUNA uadui wa kudumu kwenye SIASA we jirudi na kujishusha TRUST me YOU WILL MAKE IT....wewe ni KIONGOZI

La mwisho even IF MAKONDA NDIO SOURCE ya wewe KUWA DROPED OUT kwenye UWAZIRI...kaka yangu NAPE nakuomba sana MSAMEHE. MAKONDA ni mdogo wako kisiasa UKIKUTANA NAE we CHEKA NAE. Hapo ndipo utakapojipatia USHINDI kwa mustakabali wa kesho yako KISIASA.
Pia kumbuka RAIS atabaki kuwa RAIS tu......URAIS ni taasisi kubwa mno i believe hili unalitambua VIZURI.....
MODS nawaomba msiunganishe huu UZI.......
 
eddy: Kwa hiyo ulitamani Nape asisikike vizuri? Unaumia kwa nini Nape kasikika vizuri kwa hadhira yake? Hizi eti ndio akili za kuipeleka Tanzania dunia ya viwanda!
 
Kosa lake: Alifanya kazi ya Raisi bila kutumwa na Raisi. In administrative law is called excess of powers,usurping of powers,Ultra vires. Aliunda kamati kumchunguza mteule wa Raisi bila kutumwa na Raisi. This is absolutely ultra vires. Ilikuwa au ajihuzuru au atumbuliwe. There was no shortcut.
Ni wachache sana wanalijua hili mkuu, umewapa shule ingawa mburula hawatakubali, wamekariri swaga za kuzungusha mikono
 
Nimepitia clip zote za sakata la Nape kushambuliwa na kitu kama bastola na kuvunjika kwa mkutano wake.

Nimeshangazwa na uwezo mkubwa wa camera za Millard Ayo kunasa sauti ya nape na kusikika sawia kabisa kama alifanya shooting na studio za Godfarther za sauz. Nashindwa kuelewa kuwa hotuba ya Nape ilirekodiwa studio siku moja kabla ya tukio. Hivyo pale Protea Hotel Nape alikuwa anafanya shooting tu.

Haiwezekani mtu ambaye alikuwa akiongea yuko juu ya gari tena bila kipaza sauti sauti yake ikanaswa na kusikika mubashara na camera nadhani hapa kuna kausanii fulani.

Kama huelewi mambo ya sound engineering si uulize tu ndugu? Hivi mkitumwaga kuandika humu huwa hambakishi akili ya kufikiria?
 
Wanayofanya tu mtu ukiangalia ni unaona maigizo.

Hiyo ya sauti sijui kipaza sauti na mimi pia nilinoti.
Mataungana mkono na wapuuzi wenzio kwa kila kitu hata cha kipuuzi kama mlivyo ilimradi kinampa nafuu basha wenu. Kwa akili yenu nyepesi mnadhani kuna MTU timamu ataamini huu ujinga mnaozusha? Nape arekodi kwa Milard halafu aje arudie maneno hayo hayo neno kwa neno bila kuruka hata moja wakati anaongea kwenye hadhara!!? Huu mtungo pelekeni Magogoni mtapewa bk.10 lkn hata Lumumba mtaambulia soda tu.
 
MKUU hujui aliyezuia matangazo ya live ya BUNGE ni MKUU wa NCHI?
Nilikuwa nashangaa Sana kuona nape anasema kuipinga serikali hadharani, nikajiuliza huyu ni Nape kweli au Kuna jambo jingine nje ya boksi. Maan nimeshuhudia matukio mengi mengi ya hovyo Nape akitetea kipindi cha jakaya leo hii anajidai kabadilika km sio unafiki nini. tumeshuhudia akitetea makosa makubwa hadharani leo JPM ndio shujaa eti huu ni unafiki ni kampeni za Chini Chini ili serikali ya JPM ionekane inachukiwa Zaidi na Zaidi, Kumbukeni Nape alikuwa team Membe hivyo hapendezwi kabisa kuona Rais watu akiongoza Nchi hii kwa Nia njema.
Issue ya clouds ni kweli makonda alichemka angempigia simu tu Ruge na kumuuliza mbona vijana wako hawarushi issue ya gwajima?. Nafikiri angefahamishwa na Ruge jinsi ilivyo na taratibu zipi zilikuwa zinasubiliwa.
Nape alichochmka naye kwa hili Yeye ni serikali,makonda pia ni serikali kwanin huyu waziri wa diamond asimuhoji kwanza makonda ili ajue Kuna nini Chini ya kapeti Sasa yy Nape alitaka kufurahisha media tena akizidi kwenda mbali akaunda kamati je hiyo kamati ilimuhoji makonda?. Je Nape alimuhoji makonda? au Nape alimpigia simu Boss wake?. km jibu ni no nikisema Nape alikuwa na interest zake tafauti na za issue hii.
Nape kafanya madudu mangapi kazuia bunge live kafungia magazine mangapi. leo Nape awe shujaa no no Big no.
Nape siku zone anatetea serikali siku zote liwe jema au baya anatetea kipindi cha JK vipi leo JPm au Ana hasira za Membe kukosa Urais.
 
Mnataka kuanza fitna pasipo-fitnika.

Halafu RPC anasema wanachunguza picha ya aliyeshika bastola wakati yeye na askari wake walikuwepo eneo la tukio eti kulinda usalama, usalama gani waliulinda, Nape katishiwa maisha, askari wemwacha mtoa bastola aende "scot free "
 
Nimepitia clip zote za sakata la Nape kushambuliwa na kitu kama bastola na kuvunjika kwa mkutano wake.

Nimeshangazwa na uwezo mkubwa wa camera za Millard Ayo kunasa sauti ya nape na kusikika sawia kabisa kama alifanya shooting na studio za Godfarther za sauz. Nashindwa kuelewa kuwa hotuba ya Nape ilirekodiwa studio siku moja kabla ya tukio. Hivyo pale Protea Hotel Nape alikuwa anafanya shooting tu.

Haiwezekani mtu ambaye alikuwa akiongea yuko juu ya gari tena bila kipaza sauti sauti yake ikanaswa na kusikika mubashara na camera nadhani hapa kuna kausanii fulani.
Wewe ni slow learner,utaelewa mbeleni wakati wenzio tunadili na ishu nyingine
 
Well said, Nape nauye alishafukuzwa uwana chama! Alama za nyakati zime pita pembeni
 
Back
Top Bottom