Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Akili za Kibashite hizi utaahira wako peleka lumumba siyo humu. Sasa kama hakufanya kosa kwanini azuiliwe kuongea na wanahabari hadi akaongee juu ya gari!? Kwanini dikteta uchwara akasirike kwamba magazeti yote yalitoa kipaumbele kwenye habari ya Nape badala ya unafiki wake wa bandari!?

Acha kuidumaza akili yako tafakari kwa kina.
Acha kurandaranda...jibu swali...rais amevunja sheria au katiba?
 
Ukimtetea Bashite lazma akili zako ziwe mbovu so mambo ya Protea yalifanywa studio? Mbona unazidiwa akili na mchwa wakati we ni binadamu? Acha ujinga jirudishie heshima yako kama binadamu
Acheni kelele weka vyeti mezani!!!
 
Nape alikua mteule wa Rais na makonda ni mteule wa Rais lakini nape alijichukulia .madaraka mkononi bila kushauriana na Rais ambae ndio aliwateua wote

Hivyo alileta madharau makubwa kwa mamlaka iliyowateua ingawa makonda alikua na makosa

Nape akaona kwa kiburi na nguvu alizotumia kuiweka ccm madarakani basi anaweza fanya chochote bila kufuata taratibu za mashauri na Rais
 
Walizoea kutumbua pesa za wananchi kama zao.

Sasa awamu hii wa CCM hata wa upinzani wanaisoma namba.

Kipindi cha mpito kitapita na watakuwa wamenyooka.

Vitambi vitapungua pia.
 
Nilikuwa nashangaa Sana kuona nape anasema kuipinga serikali hadharani, nikajiuliza huyu ni Nape kweli au Kuna jambo jingine nje ya boksi. Maan nimeshuhudia matukio mengi mengi ya hovyo Nape akitetea kipindi cha jakaya leo hii anajidai kabadilika km sio unafiki nini. tumeshuhudia akitetea makosa makubwa hadharani leo JPM ndio shujaa eti huu ni unafiki ni kampeni za Chini Chini ili serikali ya JPM ionekane inachukiwa Zaidi na Zaidi, Kumbukeni Nape alikuwa team Membe hivyo hapendezwi kabisa kuona Rais watu akiongoza Nchi hii kwa Nia njema.
Issue ya clouds ni kweli makonda alichemka angempigia simu tu Ruge na kumuuliza mbona vijana wako hawarushi issue ya gwajima?. Nafikiri angefahamishwa na Ruge jinsi ilivyo na taratibu zipi zilikuwa zinasubiliwa.
Nape alichochmka naye kwa hili Yeye ni serikali,makonda pia ni serikali kwanin huyu waziri wa diamond asimuhoji kwanza makonda ili ajue Kuna nini Chini ya kapeti Sasa yy Nape alitaka kufurahisha media tena akizidi kwenda mbali akaunda kamati je hiyo kamati ilimuhoji makonda?. Je Nape alimuhoji makonda? au Nape alimpigia simu Boss wake?. km jibu ni no nikisema Nape alikuwa na interest zake tafauti na za issue hii.
Nape kafanya madudu mangapi kazuia bunge live kafungia magazine mangapi. leo Nape awe shujaa no no Big no.
Nape siku zone anatetea serikali siku zote liwe jema au baya anatetea kipindi cha JK vipi leo JPm au Ana hasira za Membe kukosa Urais.
Mnajidanganya wa tanzania tunaakili timamu tunaona na tunaskia yote yanayoendelea huu ujinga wako upeleke koromije sio humu.kuna watu wajinga sana yani mtu akisimamia haki kwao nim'baya tushawajua nyie[emoji57]
 
eddy

= Godfather, si kama ulivyoandika kwenye post yako namba moja.

Kinacho nasa sauti si camera, ni microphone. Microphone inaweza kuwa imeundwa pamoja na camera na inaweza kuwa nje ya camera.


Microphones za siku hizi zina uwezo wa juu sana kudaka sauti na pia zile za nje ya camera zipo ambazo huvalishwa muongeaji kabla ya kuongea na zinarusha kwenda kwenye kurekodiwa pamoja na video bila waya.
 
Nape alikua mteule wa Rais na makonda ni mteule wa Rais lakini nape alijichukulia .madaraka mkononi bila kushauriana na Rais ambae ndio aliwateua wote

Hivyo alileta madharau makubwa kwa mamlaka iliyowateua ingawa makonda alikua na makosa

Nape akaona kwa kiburi na nguvu alizotumia kuiweka ccm madarakani basi anaweza fanya chochote bila kufuata taratibu za mashauri na Rais

Wabongo noma [emoji12][emoji12]

Lilipoanza Skendo la Madawa Mwigulu Nchemba Waziri husika alikaa Kimya tukamlaumu kutoingilia kati

Limetokea la Clouds , Waziri husika Nape kaingilia Kati pia tunahoji kwanini kaingilia!

Jk ndo Rais aliewajua vizuri wa Tanzania kwa Unafiki wao ndo maana alikuwa anawapotezea vitu vingi
 
Back
Top Bottom