Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Cocochanel, kweli ni maigizo nimestuka, tizama movie nzima inafanana na tangazo la vodacom la Mpoki wazekomedy, pili hamorapa ameigiza kama yule binti wa filamu ya uncle JJ ya kanumba. Yaani full usanii, nape mwakahuu tutakupatia medali ya mwigizaji bora.
 
Millard Ayo ndiyo kitu gani mkuu
 
Wewe acha usanii kwenye jumba la sanaa maana wote ni wasanii watakuona kichekesho, kwanza umefuata nini huku, kacheze unakochezaga
 
ilirekodiwa siku moja kivipi wakati umeona nape akiongea juu ya gari huku ishara za mdomo na mikono na body language kwa ujumla viki-reflect wazi kabisa kile anachokiongea? sijui mwenzangu macho na masikio yako vilikua vikisikia na kuona kitu gani
 
Najiuliza kwa nini yule mwenye bastola ulionyeshwa kisogoni.. hasi RPC Kinondoni anasema hamjui
 
Najiuliza kwa nini yule mwenye bastola ulionyeshwa kisogoni.. hasi RPC Kinondoni anasema hamjui

Kama hamjui kwa nini hakumkamata? Na yule aliyekuwa na Nape mbona alitaka ku-react lakini akapoa, kwa nini alipoa?
 
Kama hamjui kwa nini hakumkamata? Na yule aliyekuwa na Nape mbona alitaka ku-react lakini akapoa, kwa nini alipoa?
Kimsingi yule ni kijana wake.. hata yeye alikuwepo eneo la tukio. Najiuliza kwa nini kamera hazikumuonesha usoni mshika bastola
 
Bashite na anayembeba,watu wake wa mtandaoni kama wamezaliwa tumbo moja ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…