Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Na wewe mbona maswali yako yanaonekana kama yalipangwa awali kabla ya tukio?
 

Kwani ulitaka kidaka sauti cha video camera tu ndicho kitumike? Umesahau kuwa kuna wireless mic??

Unawasumbua ushabiki tu!!
 
Kimsingi yule ni kijana wake.. hata yeye alikuwepo eneo la tukio. Najiuliza kwa nini kamera hazikumuonesha usoni mshika bastola

Anaonekana vizuri ila kapero inamziba paji lake la uso.
 

Waliokuwa karibu na Nape walikuwa na wireless mic zinazowasiliana na camera, wala sio usanii Kama mnavyofikiria[emoji106]
 
Takataka kabisa
 
Wanayofanya tu mtu ukiangalia ni unaona maigizo.

Hiyo ya sauti sijui kipaza sauti na mimi pia nilinoti.
Yale aliyofanya Bosi wa Bashite Bandarini utayaitaje? Maonyesho au Maigizo?

Juzi Bashite alifika Clouds kudai habari yake irushwe hewani, jana Bosi wa Bashite anawapiga mkwara wanahabari na vyombo vya habari kwa kutoipa kipaumbele habari yake. Hawa viumbe vipi? Wana matatizo gani?
 
Kweli akili ni nywele. ....kuna kitu inaitwa zoom mic kwenye video kamera acheni uju.......
 
Vyeti vyeti vyeti watu wanataka vyeti hizi story za sauti acha kubakia nyuma kiteknolojia siku hizi kuna filter za kuchuja sauti ikawekwa sana pasipo kurudiwa popote, acheni kuwateta wakoloni wasukuma tuungane tudai uhuru kama mwaka 1961
 
Kuna kamera za maelfu ya dola zina mic inanasa sauti vizuri tu, tena unaweza kulenga mic kama unavyolenga mtu kumpiga picha.
 
Acha ushamba na ww umekuwa kama wasukuma wawili waliofunga ndoa haramu na kulejesha Ukoloni nchini?
 
Ukimtetea Bashite lazma akili zako ziwe mbovu so mambo ya Protea yalifanywa studio? Mbona unazidiwa akili na mchwa wakati we ni binadamu? Acha ujinga jirudishie heshima yako kama binadamu
 
Kuna kamera za maelfu ya dola zina mic inanasa sauti vizuri tu, tena unaweza kulenga mic kama unavyolenga mtu kumpiga picha.
achana na huyo mleta mada kwani kaonekana bado yupo nyuma na teknolojia, tujipange kudai uhuru toka kwa wasukuma wawili kama ilivyokuwa mwaka 1961
 
Ukimtetea Bashite lazma akili zako ziwe mbovu so mambo ya Protea yalifanywa studio? Mbona unazidiwa akili na mchwa wakati we ni binadamu? Acha ujinga jirudishie heshima yako kama binadamu
Watetezi wa Daud wote wamejitoa fahamu njaa ni kitu cha hatari sana, wasukuma wawili wenye ndoa haramu wamezidi kuliangamiza Taifa kwa kuzalisha wajinga wajinga wengi kuja kuwatetea JF
 
Kule bandarini ni Aibu leo kachimbia mkwara vyombo vya habari baada ya kugundua kuwa wameshitukia bandarini zile kontena zilikuwepo tokea mwezi uliopita hivyo huenda wakaandika Ukweli ikawa Aibu kubwa kwake ndipo kaamua kuwatisha mapema wasije kumuumbua, Udikteta wa wasukuma wawili unalekeza Taifa shimoni.
 
ilirekodiwa siku moja kivipi wakati umeona nape akiongea juu ya gari huku ishara za mdomo na mikono na body language kwa ujumla viki-reflect wazi kabisa kile anachokiongea? sijui mwenzangu macho na masikio yako vilikua vikisikia na kuona kitu gani
Backagain.Hicho unachokisema siyo kwamba hakiwezekani.Hata hizi movies ,video shooting yoyote hasa za muziki wanafanya hivyo.Muziki unarekodiwa studio kwanza halafu watu wanaenda kucheza muziki huo huo live lakini baadae wanatumia muziki uliorekodiwa Studio kutengeneza video.Ukiangalia video unaona inaenda sawa,vitendo,nk lakini sauti ile ni ya Muziki wa Studio.Sasa nirudi kwenye Uzi.
1.Mleta uzi kama uliona hiyo clip kwa Millard Ayo usiconclude kwamba Camera zake ndizo zilishoot Unamuharibia biashara ,tukio linaweza kuchukuliwa na mtu/media moja na akauza kwa wengine.Wale wengine wanatakiwa kudiisplay (courtesy?) jina la source kitu ambacho hakifanyiki bongo.
2.Kitu ambacho sielewi:Kama ilikuwa Action ni Action for what au kwa ajili ya nini?
 


Sakata la Nnape kushambuliwa halituhusu watanzania wote. Tuna waziri wa dhamana hapa nchini, yeye ndiye anayejuwa namna gani atafuatilia hili suala. Tupiganie kuleta maendeleo hapa nchini bila kusahahu kupiga vita bisahara ya madawa ya kulevya na wizi wa mchanga wetu wa dhahabu. Kila Mtanzania ni askari wa mwenzake. Tusiache wachache wanahujumu nchi huku ndugu zetu vijijini wanalia njaa na kukosa huduma za hospitali kwa kuwa hakuna dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…