Tumia common sense kufanya judgement! Umeona camera crew ilikaa upande upi?! Au unataka kusema na camera crew yoooooooooooooooooote ilipangwa na Nape ikae upande gani?Kimsingi yule ni kijana wake.. hata yeye alikuwepo eneo la tukio. Najiuliza kwa nini kamera hazikumuonesha usoni mshika bastola
Wachache wanaohujumu nchi yetu ni wale wanaotaka kutisha watu na kuwanyamazisha kwavile tu wanaongea wale wasiyopeenda kuyasikia!!!Sakata la Nnape kushambuliwa halituhusu watanzania wote. Tuna waziri wa dhamana hapa nchini, yeye ndiye anayejuwa namna gani atafuatilia hili suala. Tupiganie kuleta maendeleo hapa nchini bila kusahahu kupiga vita bisahara ya madawa ya kulevya na wizi wa mchanga wetu wa dhahabu. Kila Mtanzania ni askari wa mwenzake. Tusiache wachache wanahujumu nchi huku ndugu zetu vijijini wanalia njaa na kukosa huduma za hospitali kwa kuwa hakuna dawa.
We ni bwege wa kitaifa,usietaka kujifunza au kutafiti,acha hizo ,live is live,no matter whatCocochanel, kweli ni maigizo nimestuka, tizama movie nzima inafanana na tangazo la vodacom la Mpoki wazekomedy, pili hamorapa ameigiza kama yule binti wa filamu ya uncle JJ ya kanumba. Yaani full usanii, nape mwakahuu tutakupatia medali ya mwigizaji bora.
Demba kumbe umeona ee, tangu saga ya bashite ianze huyu binadamu yumo na hana hata logic anaongea kama wale wauza vitumbua wasiojifahamu (siyo wote wauza vitumbua) simple minds people.mkuu unatiming nzuri yaani kila post lazima utokee, tena unakuwa wa kwanza kwanza. sasa kwa nini usifungue tuakaunti twingi twingi ili kuo geza wingi wa supports wa bwana mkubwa?
We manzi mshamba sana...ile ilikuwa movie inaitwa Bashitelization sio?Wanayofanya tu mtu ukiangalia ni unaona maigizo.
Hiyo ya sauti sijui kipaza sauti na mimi pia nilinoti.
hakuna hata suala la kujiuliza kama ilikua action au la. pale kuna action gani? mbona hiki kitu kiko wazi sana wazee? yani nape alikua anakwenda kuongea na waandishi kwa kutumia hotuba ambayo imesharekodiwa? kwahiyo wangeweka sauti iliyorekodiwa halafu yeye akaanza kuifuatisha? unaona hilo ni kweli?Backagain.Hicho unachokisema siyo kwamba hakiwezekani.Hata hizi movies ,video shooting yoyote hasa za muziki wanafanya hivyo.Muziki unarekodiwa studio kwanza halafu watu wanaenda kucheza muziki huo huo live lakini baadae wanatumia muziki uliorekodiwa Studio kutengeneza video.Ukiangalia video unaona inaenda sawa,vitendo,nk lakini sauti ile ni ya Muziki wa Studio.Sasa nirudi kwenye Uzi.
1.Mleta uzi kama uliona hiyo clip kwa Millard Ayo usiconclude kwamba Camera zake ndizo zilishoot Unamuharibia biashara ,tukio linaweza kuchukuliwa na mtu/media moja na akauza kwa wengine.Wale wengine wanatakiwa kudiisplay (courtesy?) jina la source kitu ambacho hakifanyiki bongo.
2.Kitu ambacho sielewi:Kama ilikuwa Action ni Action for what au kwa ajili ya nini?