Democracy Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 351
- 94
Si kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.Nape punguza hasira ndugu yangu bado unahitajika nchini
Bashite na Baba Jesca unawajua wewe!Si kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.
Haki ya nani jamaa ana roho mbaya sanaShukrani ya punda ni mateke.
Propaganda hizo hakuna kitu kama hicho.Si kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.
Ulicho reply hakifanani na nlichoandikaSi kweli vipi kuhusu hayo magari ya kifahari aliyopewa na wauza madawa ya kulevya. Vipi alipovamia kituo huru cha habari kulazimisha story itoke? The story which did not have any balance? Kaa chini ufikirie kwa makini haya mambo ya Bashite na Baba Jeska.
Niwie radhi mkuu mm pia ni binadamu.Tehteh haaya bhana asante pia kwakuniona lofa yaani unafikiri naandika bila kujua au naotaa
Bashite ameiweka serikali na viongozi wote mfukoni kwake.Ya Clouds ulikuwepo?
Bashite ameiweka serikali na viongozi wote mfukoni kwake.