Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Sioni sababu ya kumtetea nape, ukipanda mahindi usitarajie kupata mihogo, huyu alitaka sana kuwafurahisha clouds na wasanii wake akasahau kuwa kuna mamlaka yaliyomuweka pale, kama nape ni jasiri alitakiwa kubishana na magufuli kwa hoja katika baraza la mawaziri, alichokuwa anakitaka nape ni kutafuta umaarufu binafsi through bypassing the president, nape ana mawasiliano yote ya raisi, makamu wa raisi na waziri mkuu, magufuli ana taarifa zote za nchi hii kinachotokea nchini anajua, tukio la makonda ni baya, yeye kama waziri mhusika kabla ya kuunda tume alitakiwa awasiliane kwanza na raisi ajue msimamo wa raisi ni upi katika swala hili? baada ya hapo wakubaliane kuunda au kutokuunda tume, in general they could have agreed what to do, lazima waziri atoea taarifa kwanza kwa mkuu wake wa kazi apewe Baraka zote za kila jambo analotaka kufanya ili akikwama awe na back up ya Raisi,makamu wa raisi ana waziri mkuu, hivyo huyu nape hakufuata utaratibu, magufuli akamuwahi akamtumbua. Sina chama lakini nashauri sana wapinzani mkiona ccm wanafarakana waacheni ,tena kama hawa vijana waacheni watumbuliwe maana hawa ndo wachawi wa mabadiliko ya kweli Tanzania, upinzani endeleeni na mikakati yenu na sera zenu za kulitoa taifa hapo tulipo kwenda hatua nyingine kiiuchumi,demokrasia ya kweli na kutuletea katiba mpya.
 
Umezeeka sasa, angalau uwe unachangia vitu vya umri wako kuliko kuleta ujinga kila siku hapa!

Umenizeesha wewe!?

Hata hujui umri wangu upo unatokwa mapovu, ha ha haaaaaaaaaaa

Utazidi kuisoma namba, acha uvivu na wivu
 
Mataungana mkono na wapuuzi wenzio kwa kila kitu hata cha kipuuzi kama mlivyo ilimradi kinampa nafuu basha wenu. Kwa akili yenu nyepesi mnadhani kuna MTU timamu ataamini huu ujinga mnaozusha? Nape arekodi kwa Milard halafu aje arudie maneno hayo hayo neno kwa neno bila kuruka hata moja wakati anaongea kwenye hadhara!!? Huu mtungo pelekeni Magogoni mtapewa bk.10 lkn hata Lumumba mtaambulia soda tu.


Utajiju, jipige vibao vya uso kwa kushinda unaandika uongo na kuweka maneno kwenye fikra za watu.
 
Mama yangu tutanyooka wote pamoja na nyie uvccm, sasa hivi tayari mmeanza kutoana ngeu

Yaani uache kabisa kuniweka kwenye vyama vyenu, mimi ni mwananchi nisie na chama wala situmwi na mtu uandika yangu.

Makonda oyeeeee
 
We manzi mshamba sana...ile ilikuwa movie inaitwa Bashitelization sio?

Ushamba ulionao wewe, acha kufikiri kila mtu yupo kama wewe. Maisha yanakupiga wewe unaniletea mapovu, pita hukooooo.

Mwanamke mdomo mchafu mfwyuuuuuuu
 
Yale aliyofanya Bosi wa Bashite Bandarini utayaitaje? Maonyesho au Maigizo?

Juzi Bashite alifika Clouds kudai habari yake irushwe hewani, jana Bosi wa Bashite anawapiga mkwara wanahabari na vyombo vya habari kwa kutoipa kipaumbele habari yake. Hawa viumbe vipi? Wana matatizo gani?

Ya Clouds ulikuwepo?
 
Tatizo lako kila habari ya Bashite unatetea kila post kwa wenye akili tunawaza yawezekana mmoja wao kama sio ikulu anakutafua sio bure. Usikasirike kutafuna ama kutafunwa ni mambo ya kawaida yapo katika real life cycle

Wewe ndio unafanywa hayo huko ulikokutaja.
 
Sioni sababu ya kumtetea nape, ukipanda mahindi usitarajie kupata mihogo, huyu alitaka sana kuwafurahisha clouds na wasanii wake akasahau kuwa kuna mamlaka yaliyomuweka pale, kama nape ni jasiri alitakiwa kubishana na magufuli kwa hoja katika baraza la mawaziri, alichokuwa anakitaka nape ni kutafuta umaarufu binafsi through bypassing the president, nape ana mawasiliano yote ya raisi, makamu wa raisi na waziri mkuu, magufuli ana taarifa zote za nchi hii kinachotokea nchini anajua, tukio la makonda ni baya, yeye kama waziri mhusika kabla ya kuunda tume alitakiwa awasiliane kwanza na raisi ajue msimamo wa raisi ni upi katika swala hili? baada ya hapo wakubaliane kuunda au kutokuunda tume, in general they could have agreed what to do, lazima waziri atoea taarifa kwanza kwa mkuu wake wa kazi apewe Baraka zote za kila jambo analotaka kufanya ili akikwama awe na back up ya Raisi,makamu wa raisi ana waziri mkuu, hivyo huyu nape hakufuata utaratibu, magufuli akamuwahi akamtumbua. Sina chama lakini nashauri sana wapinzani mkiona ccm wanafarakana waacheni ,tena kama hawa vijana waacheni watumbuliwe maana hawa ndo wachawi wa mabadiliko ya kweli Tanzania, upinzani endeleeni na mikakati yenu na sera zenu za kulitoa taifa hapo tulipo kwenda hatua nyingine kiiuchumi,demokrasia ya kweli na kutuletea katiba mpya.

mmmm... nikikumbuka uchaguzi na haya yanayotokea sasa .....kweli naamini mzee kingunge aliona mbali.
 
Wewe sasa ndio pungwani kabisa, nape shujaa!!????? Shujaa wa kufungia vyombo vya habari na bunge.?? Pumbaaaaav
Uelewa huwa ni kitu cha muhimu sana aisee ndugu unauelewa mdogo sana hebu fuatilia kwa makini post niliyo quote nikajibu hilo unali livimbia macho wewe., huenda wewe ndio ukawa kiongozi wangu kwenye kundi la mapunguani
 
Ushamba ulionao wewe, acha kufikiri kila mtu yupo kama wewe. Maisha yanakupiga wewe unaniletea mapovu, pita hukooooo.

Mwanamke mdomo mchafu mfwyuuuuuuu
Mdomo wangu mchafu kama akili yako!
nonsense.....!
 
7f3674aacfb949b1d8a17d085d0191a0.jpg
 
Kwenye hili la Clouds ukiangalia kwa makini member wa kamati ya Nape ni kuwa Nape alikuwa na maslahi upande fulani......

Ishu ya uvamizi kama ile huwezi kuunda tume isiyokuwa na mwana usalama hata mmoja....na kujaza wana habari wote.....
Kwani Mkuu wa idara ya habari na Maelezo.... Sio Mwana usalama?
 
Kavumili mengi Nape Kafika mwisho. Yale ni maelekezo tu so unapoona mambo yanapindishwa huna budi kufanya maamuzi.kimahesabu Raisi kamuwahi Nape kabla hajajiuzuru na ingekuwa AIBU kwake.lakini kwahili limempa CREDIT Nape.
Kweli ni mkuu ndio alipiga stop lkn hapi hapo nape nae alikuwa mkuu wa kitengo hicho sasa kwann kipindi kile alikaa kimya tena mwenyewe alikuwa analitolea maelezo bungeni?? Leo hii tunamuita eti nape shujaa kwa lipi mkuu?

Kikubwa ni kwamba mirija ya pesa imekata
 
Back
Top Bottom