Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Karne ya leo unashangaa kupata sauti tulivu kama ile? Hata tecno yangu y6 inaweza kuyafanya yale. Kuna vinasa sauti vya kisasa vyenye umbo dogo kama gololi, waweza vaa shingoni au ukakiweka kwenye mfuko wa shati na kikanasa sauti yako kwa usikivu wa halo ya juu. Hivyo usishangae dogo.
 
Kosa lake kwa mtu wa mihemuko hawezi kuliona kwa urahisi, ksma ulimsiliza wziri mwakyembe jana hapo ndo waweza gundua

Unamuongelea Mwakyembe aliyekana andiko lake mwenyewe la PhD au unamuongelea Mwakyembe yupi Mkuu wangu??
 
Kutumbuliwa ni kutenguliwa,tulichoelezwa ni kwamba Rais amefanya mabadiliko na wala si kutengulia, and who knows...may be siku chache mbele angepangiwa kazi nyingine kama angekuwa humble baada ya pale,lakini kwa panick aliyoonesha baada ya pale atakuwa amempa wakati mgumu Rais wa kumfikiria, kwani kuplan kufanya mkusanyiko bila kibali tayari ilikuwa ni kinyume cha sheria za nchi.Haikuleta picha nzuri kwani mpaka wakati ule ni kama bado alikuwa waziri kwa kuwa alikuwa bado hajakabidhi na kimsingi hakuwa amefutwa kazi.Nape ni moja ya viongozi nnaowaheshimu sana lakini bado najiuliza kwenye hili alipatwa na nini akaruhusu kuangamizwa na emotions? Sitaki kuamini Nape hajaona makosa aloyafanya na kwa kuwa ni mtu muungwana ataapologize kwa mh Rais, na pia sitaki kuamin kuwa mh. Rais hajui umuhimu wa Nape katika CCM na hivyo hatasita kumsamehe pindi atakapo apologize.
hata mimi namshauri nape afanye hivyo. Magu sio mbaya hivyo ni mtu poa sana wataelewana tu. CCM oyeeeeeeeeeeeeeeee
 
Watanzania baadhi yao wanamuono mdogo sana Nape aliondolewa kutoka nafasi ya Katibu mwenezi wa ccm mnadhani ilikuwa nafasi ndogo kupewa uwaziri Kama kifuta lawama hivyo kwake haikuwa nafasi ya kudumu.
 
Yale yote yalikuwa maigizo wewe muangalie Kitenge alivyo kuwa anaongea na yule wanao muita askari hadi wakaelewana hahahaha
Kwahiyo Polisi nao walikua kwenye maigizo? Kweli nimeamini CCM tumeishiwa hoja Hawa jamaa wa upande wapili watatutandika vibaya sana.
Inabidi Mwigulu Nchemba ajiuzulu ni kashfa kubwa hii.
 
Mtu msafi na mtu sahihi kwenye hii nchi ni yupi? Kura umpigie alafu akishakua rais anasema we sio mtu sahihi wa kukusikiliza? Waza kwanza na wewe kabla hujaleta blah blah
 
Kwani kuna tabu yoyote!?

Tabia yenu ya kufungua ID nyingi kuandika juu ya jambo ndio unataka nifanye mimi kabisaaa eeeeh, hivi hukuweza kufikiria lingine. Inaelekea ndio zako hizo.
Ile ID uliyokosea ukanijibu nayo Jana inaandikwaje?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
239d24d79422527b5a2040cd8d6f94e9.jpg
 
Ukweli kabisa Nape usisikilize mihemuko ya watu mitandaoni. Wengi wanaokupush wanataka udidimie kisiasa maana ukienda CHADEMA umekwishaaa. We kaa kimya muda si mrefu JPM akiona umetulia atakupa kiti kingine maana ni ukweli ulio wazi JPM anajua mchango wako mkubwa kwake na kwa CCM. Ona mama Anne alikaa kimya si kampa ubunge. Nchimbi pia si yuko ubalozi? we tulia ni muda tu. Kakuondoa sababu anajua waliokuwa wanakushinikiza kwa hili sio wema. Ampe ushindi gwajima we................................... labda sio JPM
Unafikiri vyeo ndio kilele cha furaha na amani kwa kila mtu? Kwa wengine amani na furaha haiwezi kupatikana kwa vyeo bila utaratibu. Kwamba kuna watu hawako tayari kupokea vyeo katikati ya maisha ya vitisho na mikwara kila wakati! Asubuhi njema...
 
Mtu msafi na mtu sahihi kwenye hii nchi ni yupi? Kura umpigie alafu akishakua rais anasema we sio mtu sahihi wa kukusikiliza? Waza kwanza na wewe kabla hujaleta blah blah
Mbugila huyo, mfuatilie maandishi yake utajua ni mtu wa aina gani!
 
Na KINGNE CHA MWISHO usithubutu kuhama CCM we do still need you kwa mustakabali wa CCM ya kesho NA FEATURE YAKO KISIASA wewe ni hazina bora kabsa ndani ya CCM HAKUNA uadui wa kudumu kwenye SIASA we jirudi na kujishusha TRUST me YOU WILL MAKE IT....wewe ni KIONGOZI
mnamhitaji wakati wa vita tuu kumbe!? mkishapata ushindi mnaleta kiburi.... ila hata nape akisepa kinana yupo atawapigania tuu msiwe na hofu.
 
Nape alikua mteule wa Rais na makonda ni mteule wa Rais lakini nape alijichukulia .madaraka mkononi bila kushauriana na Rais ambae ndio aliwateua wote

Hivyo alileta madharau makubwa kwa mamlaka iliyowateua ingawa makonda alikua na makosa

Nape akaona kwa kiburi na nguvu alizotumia kuiweka ccm madarakani basi anaweza fanya chochote bila kufuata taratibu za mashauri na Rais

Unataka kutuambia hakuna waziri mwingine alishawai kuunda kamati ya uchunguzi bila kuwasiliana na rais??? nn maana ya ku delegate power??

Ndo maana watu wanasema kwa rais tuliyenaye hatuna haja ya kuwa na mawaziri kwani kila kitu anataka kufanya yeye.

Bora angewafukuza mawaziri wote abaki yeye na bashite wake tu.
 
Kuweni na shukrani CCM.. BILA huyu bwana Saivi mngekua wapinzani nyie.

Nyinyi ndio mumtake radhi.

By the way ushashawishi watu wangapi mpaka Leo kuingia CCM (chama cha magufuli)?
Sasa pale ccm ilihusikaje?? Kwani aliondolewa kwenye chama..?? Then yeye na jk kwa upande mwingine ndio waliyumbisha chama..
 
Nnamshaka na mtoa mada mana anakaili za kibashite bashite... Big up Nay wa Mitego
 
NAPE ni mdogo sana kwenye hicho Chama. Baba yake mwenyewe alikuwa mamluki Chamani miaka hiyo.
 
Kwani utawala wa JK ulikuwa wa aina hii?


Mnyonge tumnyonge lakini haki yake tumpe!
 
Sasa pale ccm ilihusikaje?? Kwani aliondolewa kwenye chama..?? Then yeye na jk kwa upande mwingine ndio waliyumbisha chama..
CCM ndiyo serikali, Serikali ndiyo CCM.

Alichofanyiwa Jamaa ni Usaliti.
 
Back
Top Bottom