Nape: Ukusanyaji wa kodi ni taaluma ila Serikali imeacha kutumia wenye taaluma inatumia task force ambao kazi yao ni kuua biashara tu

Tatizo ni yule bwege pale kwenye madhabahu ya bunge ndio yupo upande wa jiwe[emoji16][emoji16][emoji16]
Anaweza kutembeza mpera wa kamati ya Nidhamu!
Ishu ni mgomo /msimamo wa wabunge endapo watakuwa na msimamo wa upande mmoja hii itamsumbua sana
 
inaandaliwa database ya wadaiwa wote ukipita migration kugonga muhuri ndio inakua mwisho wa safari
Wanafikiri watasepa kizembe, hii serikali ya sasa inachonifurahisha ni kwenye ubunifu wa kutoa kibano kwa raia wako vizuri 😂😂😂!!!

Shida kubuni vyanzo halisi vya kujipatia mapato tu ndio wanayumba!
 
Siyo kweli,wanaokusanya kodi wanataaluma kabisa,tatizo hawafanyi kazi kwa uhuru kulingana na taaluma zao wanafanya kazi kwa shinikizo la mtu mmoja.
ni kweli wana taaluma ila wanakuja na polisi na bunduki na karandinga kukubeba usipotoa hela! baad ya hapo waakufungulia uhujumu uchumi kama ulitakiwa kodi ulipe 50M utalipa 400M kilazima
 
Sema lioga likitishwa kidogo litakwenda Ikulu linalia
 
Mpaka sasa ile habari ya kuwa bunge hili litakuwa la "NDIYO MZEE" tayari imejibiwa!
 
Nape mzee wa goli la mkono wala asiwe na papara awe mpole tu hata asiwe na haraka haya ni mavuno ya kuwalazimisha watanzania kiongozi wasiemtaka
 
Kodi inatakiwa ukusanye kwa Nguvu wabongo hawaendi kwa barua utamaliza Rimu ya barua na hakuna kodi kubwa kodi nyingi ni adhabu watu wana default sheria za kodi
ukimhukumu mkosaji adhabu ya kufungwa miaka 300 maana yake nini wakati unajua muda wake wa kuishi hapa duniani haizidi miaka 130! Ni sawa na hizo adhabu unazosema. Halafu tunasema tumevuka malengo as if biashara zimezalisha kodi kumbe ni adhabu!
 
A aa aaa Nape kaka angu ''watch it out'' bado tunakuhitaji kwetu, mbona ww kama Chadema hivi. Ha ha ha nasema hivi MITANO TENA sauti imefika hukooo?
 
ukimhukumu mkosaji adhabu ya kufungwa miaka 300 maana yake nini wakati unajua muda wake wa kuishi hapa duniani haizidi miaka 130! Ni sawa na hizo adhabu unazosema. Halafu tunasema tumevuka malengo as if biashara zimezalisha kodi kumbe ni adhabu!
Kaa kimyaa utumie hizo barabara na Dawa hospitalini usiulize zinakotoka
 
Asante sana mkuu
 
Mliambiwa na wapinzani mapema sana anguko kuu la CCM litatokana na Kodi kandamizi pamoja na ubambikiaji.
Sasa hivi POLICE,TISS&TRA wanashiriki kukandamiza wafanyabiashara na wawekezaji kwa muda,wakifilisika kama kukimbia watakusanya toka wapi?
 
Kuna sheria na common sense, na Mswahili hata asome sheria zote za dunia hii uwezo wa kutumia common sense ni zero.
 
Watu wanaotetea huu uozo unaoendelea hawajui chochote.

Ramadhani Ntuzwe alifanyiwa uhuni na Watu wamepiga kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…