Mungu nae aliahidi wema hatopata ntoto nani sasa mjanjaWema aliahidi lowasa hawezi kuwa rais ikatimia.
Ndio maana bavicha wanatokwa povu
Nchi hii Mungu anajua!Waziri wa habari, michezo na sanaa Nape Nnauye amesema msanii wa filamu Wema Sepetu amewapa heshima kubwa kwa ku launch application yake ya Wema Sepetu ambayo itakuwa inatoa taarifa za Wema.
Aliyasema hayo alipokuwa amehudhuria hafla hiyo aliyodai amehairisha kuhudhuria vikao vya bunge ili asiikose, pia amesema serikali itamsaidia na kumtangaza.
kuna vijana pale ud wana vipaji vya kutisha kutengeza app hawaonii wema hahahahaBora angefungua App itakayo toa habari zote kama millardAyo
ila eti habari zake!!!! habari gani sasa??!
ndo mtu uache bunge kisa wema sepetu App ,si bure kuna namna..[emoji23]
Amemsahau Snura [emoji15]Waziri wa habari, michezo na sanaa Nape Nnauye amesema msanii wa filamu Wema Sepetu amewapa heshima kubwa kwa ku launch application yake ya Wema Sepetu ambayo itakuwa inatoa taarifa za Wema.
Aliyasema hayo alipokuwa amehudhuria hafla hiyo aliyodai amehairisha kuhudhuria vikao vya bunge ili asiikose, pia amesema serikali itamsaidia na kumtangaza.
Duu makubwaNasikia maandalizi ya kumtengenezea sanamu yameiva..