Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

Wtz tucwe wanafiki,hmna kitu atafanya msanii bongo movie mkapongeza hta km kinastahili nyie ni kukosoa tuu na kunyumbu zinafata mkumbo akianza mmoja kucomment vbya bac yote yanafata hvyhvyo,huko marekani nani acyejua maisha ya kishenz ya familia ya kardashian lkn hawaachi kuwasapot kwa yle mazr wanayofanya wanaapp kibao apple lkn cc wtz tuna roho za kwnn mno mnaboa htr!!!!!
 
Wamekosoa ila hawajakataa uanzishwaji na uwepo wake. You don't have to worry boss. Je, ilikuwa ni muhimu saana hadi huyo ndugu aahirishe shughuli za kuwawakilisha walio wengi kwa ajili ya masuala ya mtu binafsi? Usijibu (nakuomba) ila tafakari boss!
 
Aibu iliyo tukuka, naiyonea uruma nch yangu
 
WAZIRI NAPE AZINDUA MFUMO WA KISASA WA WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akizindua mfumo wa kisasa kabisa wa msanii wa filamu hapa nchini,WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION mbele ya waandishi wa habari, katika hotel ya Hyatt Regency jijini Dar.Picha na Geofrey Adroph(Pamoja Blog)

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh,Nape Nnauye akizungumza kabla ya kuzindua mfumo wa kisasa kabisa wa msanii wa filamu hapa nchini,WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION mbele ya waandishi wa habari,katika hotel ya Hyatt Regency jijini Dar.

Msanii wa Bongo Movie na aliyewahi kuwa Miss Tanzania Maadam Wema Sepetu akizunguma mbele ya waandishi wa habari katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar kabla ya kuzindua huduma yake WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION,ambayo itakuwa ikijumuisa matukio yake yote sambamba na video mbalimbali yatakayowekwa kwenye mfumo wa teknolojia ya kisasa kupitia simu za mikononi.

Mtaalamu wa huduma za mitandao kutoka Push Mobile, Haji Yussuph akifafanua jambo kuhusiana na huduma hiyo ya WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION

Meneja wa Biashara wa Hartmann Trader ambao ndio watoa huduma ya Wema Sepetu Mobile Application,Cecil Mhina akifafanua namna huduma hiyo inavyoweza kutumika na pia maelezo kadhaa namna ya kujinga na kupata taarifa mbalimbali na video kupitia huduma hiyo

Munalove(kushoto) akimwelekeza mama mzazi wa Wema Sepetu jinsi ya kujiunga na WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION mara bada ya kufanyika kwa uzinduzi huo

Msaniii wa Bongo Movie, Wema Sepetu akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye baada ya uzinduzi wa huduma hiyo kufanyika mbele ya waandishi wa habari, katika hotel ya Hyatt Regency jijini Dar.

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini

Msanii wa Bongo Movie na aliyewahi kuwa Miss Tanzania Maadam Wema Sepetu akifanya mahojiano na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi wake wa huduma ya WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION

Wema Sepetu akiwa amemkumbatia mama yake mzazi mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi huo.

Picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi
 
Tako la Wema kumbe hata alijashuka jamaan liko amaizing [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Binafsi nimpongeze Wema kwa kuanzisha hiyo App ambayo itasogeza habari zake karibu na mashabiki wake sio kitu kibaya lakini hili la Waziri kuacha bunge kwenda kuzindua hiyo app napata shida sana kuelewa.
Inabidi ifike sehemu mawaziri watambue wao wanasimamaa badala ya Serikali. Hii ni kumaanisha application hiyo na content zake zote zimepewa baraka ya Serikali. Navyofahaamu aina ya maisha ya hawa dada zetu wa bongo movie hawaishi kutukanana kupitia mitandao yao mbalimbali sasa ikitokea hivyo kupitia application hiyo naona itakuwa doa kubwa kwa mh, wizara na Serikali kwa ujumla.
Nashauri Mawaziri wetu kuwa makini sana na mialiko ya namna hii
 
Wtz tucwe wanafiki,hmna kitu atafanya msanii bongo movie mkapongeza hta km kinastahili nyie ni kukosoa tuu na kunyumbu zinafata mkumbo akianza mmoja kucomment vbya bac yote yanafata hvyhvyo,huko marekani nani acyejua maisha ya kishenz ya familia ya kardashian lkn hawaachi kuwasapot kwa yle mazr wanayofanya wanaapp kibao apple lkn cc wtz tuna roho za kwnn mno mnaboa htr!!!!!
Nadhan umepata picha watanzania now walivyo serious.Apps ya maisha yake yapi and then what next ingekua ina faida kwa jamii poa bt ina direct impact na maisha yake binafsi mbona kina Faraja wanafanya makubwa yenye impact kwa jamii why not yeye .Big up for her success.
 
Hii ndio nchi ya viwanda mawaziri tena Waziri kamili anaenda kuzindua app ya wema! Kuna vijana wanadevelop app za kutatua matatizo ya wananchi ya kila siku na nyingine za kutatua umaskini wetu lakini wanakuja kupewa promo watu na app za kipuuzi. Tanzania haiwezi kupiga hatua kwa kuwa na mawaziri wa aina hii
 
Sijui tunaenda wapi na inasikitisha kuona watu wanaofanya makubwa kwa ajili ya nchi hawapewi kipaumbele lakini wanaouza NYUCHI zao kwa faida zao wenyewe wanatukuzwa kiasi hiki
 
Wtz tucwe wanafiki,hmna kitu atafanya msanii bongo movie mkapongeza hta km kinastahili nyie ni kukosoa tuu na kunyumbu zinafata mkumbo akianza mmoja kucomment vbya bac yote yanafata hvyhvyo,huko marekani nani acyejua maisha ya kishenz ya familia ya kardashian lkn hawaachi kuwasapot kwa yle mazr wanayofanya wanaapp kibao apple lkn cc wtz tuna roho za kwnn mno mnaboa htr!!!!!
Unaona ni haki Waziri kamili aache vikao vya bunge kwa ajili ya kwenda kuzindua app inayoelezea Maisha ya kucopy ya msanii tena ambae hata sio kioo cha jamii? Kweli wewe ni Zuzu katika mazuzu! Sio kila kitu unaweza kuchangia au unadhani huku ni Facebook?
 
Wtz tucwe wanafiki,hmna kitu atafanya msanii bongo movie mkapongeza hta km kinastahili nyie ni kukosoa tuu na kunyumbu zinafata mkumbo akianza mmoja kucomment vbya bac yote yanafata hvyhvyo,huko marekani nani acyejua maisha ya kishenz ya familia ya kardashian lkn hawaachi kuwasapot kwa yle mazr wanayofanya wanaapp kibao apple lkn cc wtz tuna roho za kwnn mno mnaboa htr!!!!!
Na wewe ni wale wale, shughuli za bunge na wema kipi bora?
 
Back
Top Bottom