I love my son
Member
- May 20, 2016
- 8
- 5
Umeshasema hiii ni TZ sio marekani ni TZ ndugu ni third world country usilinganishe tunatakiwa tu focus mambo ya maendeleo sasa ikiwa viongozi wenywe wana ignore mambo ya maana what do you expect??? lazima tuwe disappointed nao....wake up bado umelala??Wtz tucwe wanafiki,hmna kitu atafanya msanii bongo movie mkapongeza hta km kinastahili nyie ni kukosoa tuu na kunyumbu zinafata mkumbo akianza mmoja kucomment vbya bac yote yanafata hvyhvyo,huko marekani nani acyejua maisha ya kishenz ya familia ya kardashian lkn hawaachi kuwasapot kwa yle mazr wanayofanya wanaapp kibao apple lkn cc wtz tuna roho za kwnn mno mnaboa htr!!!!!